Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

Uongozi dhaifu kama wa huyu bibib kila kitu hutsfuta excuse ,lakin uongozi imara hutafuta suluhisho
Huo unaoitwa uongozi imara wa JPM ulitesa watu maelfu kwa maelfu tena kwa kutumia taasisi zinazoendeshwa na walipa kodi wa nchi hii.

Huo unaoitwa uongozi imara wa JPM ulionea mamilioni ya watu kisa ile sifa ya kufanya maamuzi magumu..

SSH inabidi aitii demokrasia kwani kuendesha nchi hizi za afrika kwa asilimia kubwa kunahitaji pesa zinazotoka kwa hao wazungu, hivyo ni rahisi kuwekewa masharti ya demokrasia kwa vigezo vya wazungu katika uongozi wa kiafrika.

SSH ni mwanademokrasia sio popular president kama hayati JPM ingawa alikuwa akisema hatafuti kuwa popular president, kwa vitendo alitafuta sana umaarufu kwa watu wa hali ya chini.
 
Ungemuuliza ni mrad upi uliofanikwa mpaka sasa mfano tu barabara ile ya njia nane ilikuwa imebski 15% kumalizia lakini hadi sasa kiko wapi
Pita njia ya kwenda uwanja wa ndege hapa Dar utaona kazi inaendelea. Nenda kule Pangani Tanga utaona daraja limemalizika.
 
Muajiriwa wa serikalini anayetembelea V8 na kulipwa marupurupu ya millioni kila mwezi na kuzurura tu pasipo kufanya kazi ngumu...hawezi elewa mantiki ya huu uzi
huu uzi una maana kubwa sana
Au siyo? Wanaoshusha magorofa na majengo na Mabiashara huko mtaani ni waajiriwa wa Serikali au siyo? 😂😂

Mzee utaishia kulalamika hivyo hivyo
 
Rubbish, upumbavu kama huu uliouandika ndio imetufikisha hapa.
Ni haki ya kila mtanzania kupata huduma zote za msingi. Ndio maana tunalipa kodi. Badala yake huduma za msingi zinasambazwa kwa upendeleo. Kuna sehemu Tanzania unafika na kujiuliza mara kadhaa: hapa napo ni Tanzania?
Why DPW? Serikali inashindwa nini kununua infrastructure walizonazo DPW na kuzifunga bandarini? Wanashindwa nini kutrain na kuwasimamia wafanyakazi wa bandarini na kuhakikisha kuna mafanikio na kuondoa vitendo vya wizi?
Haya yote ni matokeo ya kulea upumbavu. Magufuli was doing good save that he was a killer and he narrowed and limited corruption channels to his cronies.
Easier said than done, Serikali inashindwa kushughulikia suala la nishati ya umeme nchi ikafanya shughuli za uzalishaji kwa amani, itaweza kuendesha bandari kisasa?.

Ukumbuke kuwa DP World ni mwendeshaji wa Dar pekee, tena hapa bandarini kuna waendeshaji wengine pia hatakuwa peke yake.

Kuna bandari ya Tanga pia inataka mwendeshaji mahiri, haya masuala sio mepesi kama tunavyopiga siasa zetu yanataka uzoefu wa uendeshaji pia yanataka vifaa vya uhakika na usimamizi wa viwango vya juu.

Hapo bandarini kuna wizi wa miaka na miaka, kuna upigaji uliomshinda JPM, hivyo SSH anaeleweka kabisa lengo lake kwa kuja na mkakati wa kisayansi wa kufaidika na bandarini.

Sisi wenyewe tunaojifanya kutaka kupewa uendeshaji wa TPA ndio tunashindwa kuendesha mpaka wateja wanaamua kukimbilia bandarini za jirani.

Ni rahisi sana kuongea kuliko kutenda.
 
Kumshughulikia umeme sio sawa na kwenda kuziba pancha kwenye Tajiri ya baiskeli.

Ukame unashughulikiwaje na Serikali?
 
Au siyo? Wanaoshusha magorofa na majengo na Mabiashara huko mtaani ni waajiriwa wa Serikali au siyo? 😂😂

Mzee utaishia kulalamika hivyo hivyo
soma vizuri tena ,,,,usisome ili upate cha kujibu
soma kuelewa
 
Kumshughulikia umeme sio sawa na kwenda kuziba pancha kwenye Tajiri ya baiskeli.

Ukame unashughulikiwaje na Serikali?
Akili hizi ndo zilizotufanya tusisogee

Umeongea nini sasa kijana wa ccm??

Ukame ukame ukame, ndiyo hoja yako?

Kwani ukame hutokea Tanzania pekee??
 
Akili hizi ndo zilizotufanya tusisogee

Umeongea nini sasa kijana wa ccm??

Ukame ukame ukame, ndiyo hoja yako?

Kwani ukame hutokea Tanzania pekee??
Ukame hutokea Hadi China na ukitokea hupata Changamoto za umeme kama mwaka Jana.

Huko Zimbabwe,Zambia na South Africa ndio usiseme.

Kenya hutegemea 90% ya umeme kwenye geothermal lakini Wana matatizo ya umeme sembuse Tanzania?

Serikali is working on other sources Nje ya Hydro
 
Lakini cha ajabu mbona huko Mbarali bado wanawapigia kura? Watanzania ni watu wa ajabu sana.
Mkuu, hawawapigii,

Ndugu yangu imhotep jaribu kuulizia kwa wananchi watakwambia

Hawawapigii ccm nakuhakikishia kuwa hawa ccm ni majambazi
 
Back
Top Bottom