Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Huo unaoitwa uongozi imara wa JPM ulitesa watu maelfu kwa maelfu tena kwa kutumia taasisi zinazoendeshwa na walipa kodi wa nchi hii.Uongozi dhaifu kama wa huyu bibib kila kitu hutsfuta excuse ,lakin uongozi imara hutafuta suluhisho
Huo unaoitwa uongozi imara wa JPM ulionea mamilioni ya watu kisa ile sifa ya kufanya maamuzi magumu..
SSH inabidi aitii demokrasia kwani kuendesha nchi hizi za afrika kwa asilimia kubwa kunahitaji pesa zinazotoka kwa hao wazungu, hivyo ni rahisi kuwekewa masharti ya demokrasia kwa vigezo vya wazungu katika uongozi wa kiafrika.
SSH ni mwanademokrasia sio popular president kama hayati JPM ingawa alikuwa akisema hatafuti kuwa popular president, kwa vitendo alitafuta sana umaarufu kwa watu wa hali ya chini.