Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna lolote wewe unafata mkumbo wa maneno ya watu tu.Narudia tena,
Ingawa siwezi kukwambia chochote kuhusu kile naagiza kwa dollar na imekuwa changamoto
Ila ukae ukijua, nakupa siri tu za wafanya biashara sisi kwamba, hata hayo mafuta kuoanda saana, changamoto ni dollar
Usiyekuwa na lolote ni wewe unayebishia mpaka bunge lako na waziri wako wa fedhaHuna lolote wewe unafata mkumbo wa maneno ya watu tu.
Mafuta Tanzania rahisi kuliko Kenya, nako vipi?
Kama hutaki kusema unaagiza nini, sema unaagiza wapi?
Huna jipya wewe, una ngonjera zisizokuwa na mpango.Usiyekuwa na lolote ni wewe unayebishia mpaka bunge lako na waziri wako wa fedha
Kwanza itambulike hii nchi haina sera ya kuwainua Watanzania wa asili kiuchumi.Uko sahihi
Kile usichokuwa sahihi, umeshindwa kubainisha unafuu wa mkulima anaupata wapi na atajiendeleza vipi anapouza mazao yake kwa bei juu, akirudi kwenye vifaa vingine vya ujenzi, analutana na mrundikano wa bei
Nafuu yake ni ipi hapo mkuu
Ushamba tena?. Maoni yanayopingana na ya kwako yanakuwa ni ya kishamba?. Ukipita kimya bila ya kunijibu unakuwa umeharibikiwa na chochote?.Kodi ndo hizo zinazoliwa na ripoti ya CAG haifanyiwi kazi??
Acha ushabiki wa kishamba mkuu
Halafu wanasema tuwakosoe kwa staha ,shuwain zaoHuduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme hakuna
Huduma ya maji safi ni taabu
Pesa mtaani hakuna
Bidhaa juu, hadi kero
Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo
Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!
Bandari zimemshinda kuzisimamia
Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake
Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii
Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!
Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini
Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?
Vijana wanabuya unga tu na kuwa kama mazezeta, maana yake, awamu hii wauza unga wanatamba tu hawana mtu wa kuwatisha!
Wale wanafiki watesema mama anaupiga mwingi sijui anaupigia wapHuduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme hakuna
Huduma ya maji safi ni taabu
Pesa mtaani hakuna
Bidhaa juu, hadi kero
Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo
Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!
Bandari zimemshinda kuzisimamia
Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake
Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii
Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!
Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini
Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?
Vijana wanabuya unga tu na kuwa kama mazezeta, maana yake, awamu hii wauza unga wanatamba tu hawana mtu wa kuwatisha!
Ila katika watu wenye roho ngumu nadhan saa100 anaongozaSiku ya tatu hapa nilipo hakuna umeme wala taarifa yeyote
Wapenda kula bila jasho ndo wanamsifia huyu kikongweNakuunga mkono. Hana maono, mkakati madhubuti na ni dhaifu mno. Ni hasara kubwa kwa Taifa. Lakini wapiga Dili wanavyompamba kama hawaoni mateso ya wananchi
Uongozi dhaifu kama wa huyu bibib kila kitu hutsfuta excuse ,lakin uongozi imara hutafuta suluhishoPetrol inatoka nje ya nchi inanunuliwa kwa fedha ya kigeni, hakuna namna ambayo sisi tunaweza kuwa na utawala wa bidhaa ya kutoka nje, wanaitawala wenye kumiliki hizo biashara na sio sisi.
Huko Lindi wamepata hospitali mpya tangu nchi ipate uhuru, unapowaambia awamu hii ni mbovu inabidi uje na hoja zenye kuingia vichwani mwao.
Kodi huwezi kukwepa kuzilipa iwapo unataka huduma ziboreshwe. Hao wanaotupa misaada wanajinyima matanuzi ili sisi tuweze kuishi, kumbuka hilo kabla hujaendelea kulialia.
Bandari inapata mwekezaji DP World na mwezi Novemba anaanza kazi, kule Mbegani Bagamoyo pia anakwenda kupatikana mwendeshaji mahiri, hiyo sekta ya uchukuzi serikali imejipanga kisawasawa.
Masuala mengi ya kiuchumi yanakwenda kupata ufumbuzi.
Punguza kulialia.
Ungemuuliza ni mrad upi uliofanikwa mpaka sasa mfano tu barabara ile ya njia nane ilikuwa imebski 15% kumalizia lakini hadi sasa kiko wapiEmbu jibu hoja za mleta uzi, tofauti na hapo na wewe unanzishe uzi wa kusifu. Huyu ajibiwe kwenye hoja zako.
Umeongea ukweli ,kama huyu mazA alikuwa hataki kuingoz tz angesema tu kuliko kufungulia mwa kama alivyofanyaSerikali dhaifu kupata kutokea toka Tz imeumbwa ni hii ya 6 sijui, ni kama mbwa koko!.
Serikali pekee iliyobariki upigaji, rejea Mama akiwaambia wasaidizi wake (Mawaziri) wale kwa urefu wa kamba zao shingoni!.
Et wale ila wasivimbiwe!.
Uanmwembela mwela tu ww ukikosa kazi haimaNishi nchi ipo vibaya matatizo yako binafs sio matatizo ya nchi ,kwa hiyu amekutsdolla 2130 anaipeleka 3000 muda sio mrefu halafu unakuj na pumba zakoTtzo lilianzia kwa jiwe mambo ya uchumi sio yakuchezea na uchumi kuurudisha ktk hali yake ya mwanzo hua ni kaz sana na huwa inachukua mda sana
Na mattzo ya uchumi huwa yaanza mdg mdg mwisho wa sku yanakua makubwa
Kipindi cha jiwe biashara na shuguli nying sana zilifungwa matajiri weng walipewa makesi na wengne kuzurumiwa pesa zao na serikal ya jiwe
Lakin pia mashirika ya kimataifa pamoja na wawekezaji toka njee walipoteza imani kwa nchi na serikal na wawekezaji wanapokosa imani na nchi uchukua mda mrefu sana kurudisha imani yao
Ebu angalia wahindi iv unazan kwann wahindi ad leo hawajengi majumba Tz km ilivyokua zamak kbla ya nyerere ebu angalia waindi leo uwekezaji wao ulivyo kwa ufupi wahindi hawana imani na serikal ya tz kutokana na matendo walofanywa na mwalimu nyerere ya kuwanyanganya na kutaifisha mali zao
Huyu mama kuna baadhi ni makosa yake ila ving ni muendelezo wa makosa ya jiwe jiwe aliharibu sana nchi.
Umeandika nini sasa na weweTtzo lilianzia kwa jiwe mambo ya uchumi sio yakuchezea na uchumi kuurudisha ktk hali yake ya mwanzo hua ni kaz sana na huwa inachukua mda sana
Na mattzo ya uchumi huwa yaanza mdg mdg mwisho wa sku yanakua makubwa
Kipindi cha jiwe biashara na shuguli nying sana zilifungwa matajiri weng walipewa makesi na wengne kuzurumiwa pesa zao na serikal ya jiwe
Lakin pia mashirika ya kimataifa pamoja na wawekezaji toka njee walipoteza imani kwa nchi na serikal na wawekezaji wanapokosa imani na nchi uchukua mda mrefu sana kurudisha imani yao
Ebu angalia wahindi iv unazan kwann wahindi ad leo hawajengi majumba Tz km ilivyokua zamak kbla ya nyerere ebu angalia waindi leo uwekezaji wao ulivyo kwa ufupi wahindi hawana imani na serikal ya tz kutokana na matendo walofanywa na mwalimu nyerere ya kuwanyanganya na kutaifisha mali zao
Huyu mama kuna baadhi ni makosa yake ila ving ni muendelezo wa makosa ya jiwe jiwe aliharibu sana nchi.
Na mimi nakazia we ni mshambaUshamba tena?. Maoni yanayopingana na ya kwako yanakuwa ni ya kishamba?. Ukipita kimya bila ya kunijibu unakuwa umeharibikiwa na chochote?.
Sasa hapo hujaelewa nini?Umeandika nini sasa na wewe
Ushamba wake ni upi?Na mimi nakazia we ni mshamba
Huu ndio ukweli.Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme hakuna
Huduma ya maji safi ni taabu
Pesa mtaani hakuna
Bidhaa juu, hadi kero
Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo
Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!
Bandari zimemshinda kuzisimamia
Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake
Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii
Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!
Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini
Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?
Vijana wanabuya unga tu na kuwa kama mazezeta, maana yake, awamu hii wauza unga wanatamba tu hawana mtu wa kuwatisha!
Ni tafrani tupu