Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

Kikwete was the worst president , mama Kajenga shule na hospitals kibao . Ka improve health sectors sana . KIKWETE AMNA KITU AMFANYA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Alikuwa useless sana .
 
Maisha yamekuwa bora sana kwa waliopo kwenye link, Hao mdo utawakuta sites zao mbalimbali wakifanya ujenzi n.k, Kiufupi wao ukiwaambia habari za awamu hii kuwa ni mbaya hawatakuelewa hata kidogo... Ila kiuhalisia Mwananchi wa hali ya chini anaisoma namba kweli kweli
 
Kikwete was the worst president , mama Kajenga shule na hospitals kibao . Ka improve health sectors sana . KIKWETE AMNA KITU AMFANYA [emoji23][emoji23][emoji23]. Alikuwa useless sana .
1.Mradi wa mwendokasi Kimara ni jitihada za Kikwete

2.Daraja la Kigamboni( Nyerere)

3.Daraja la Maragarasi

4.Shule za kata nchi nzima

5.Chuo kikuu Cha Dodoma

6.Taasisi ya moyo jakaya Kikwete

7. Barabara ya Masasi -Songea to Mbambabay

8. Kuajiri kila mwaka na Nyongeza za mishahara

9.Barabara ya Mbeya Chunya

10.Majengo marefu mengi yameanza wakati wake na Mzizima Towers mpaka Leo halijaisha
 
Mwananchi wa hali ya chini yupi?
 
All of these are mkapa plans . Udom is all Mkapa Udom hosp BEnjamin mkapa for a reason . Kikwete did nothing . Amna kitu chake. Hapo
 
Kikwete?? Ndo nani sasa! Aliyesababisha vijana karibu wote kariakoo manzese, Tandale, mbagala n.k kuwa wavuta ngada??

Tunazungumzia kikwete hapa!

Tunamwongelea aliyeshindwa na hajui anataka atupeleke wapi
 
Nitajie raia mmoja aliyenufaika kwa wakati ule?
Si unajua masikini tulivyo,
Wakati ule ulikuwa wa njaa mpaka tulikabwa na jinamizi la nyerere usingizini
Lakini kwa kuwa tuliona waliofanikiwa wanapewa kibano, ili tosha kutupa usingizi hata kama tumbo liko tupu.
 
All of these are mkapa plans . Udom is all Mkapa Udom hosp BEnjamin mkapa for a reason . Kikwete did nothing . Amna kitu chake. Hapo
Hivi unajisikiliza kweli na kuelewa?
Udom ilitakwa ijengwe Mtwara na sio Dodoma.

Kwa hiyo ilikuwa sehemu ya vision ya nani kujenga Dodoma?

Mwendokasi Kimara?
Unaweza leta ushahidi ilikuwa ni wazo la Mkapa?

Nyerere bridge unajua lilikuwa wazo la nini?
Na nani aliyetoa pesa baada ya serikari kuu kuweka mtimanyongo? Kwa nini serikari haikutaka kutoa pesa? Mpaka kukimbilia hifadhi ya kijamii?

Ngengemtoni Mitomingi hivyo sishangai
 
Si unajua masikini tulivyo,
Wakati ule ulikuwa wa njaa mpaka tulikabwa na jinamizi la nyerere usingizini
Lakini kwa kuwa tuliona waliofanikiwa wanapewa kibano, ili tosha kutupa usingizi hata kama tumbo liko tupu.
Kuna bwana mmoja anaitwa Robert Heriel alisema usiwaonee huruma masikini, Sasa ndio napata picha na khasa masikini wa fikra kama hawa
 
Kikwete?? Ndo nani sasa! Aliyesababisha vijana karibu wote kariakoo manzese, Tandale, mbagala n.k kuwa wavuta ngada??

Tunazungumzia kikwete hapa!

Tunamwongelea aliyeshindwa na hajui anataka atupeleke wapi
Yupo mtu kamtaja Kikwete, nadhani hii hoja Anza kuisoma kwa huyo mtu.

Lete ushahidi kwamba Kikwete ndio muuza Ngada?
 
Lucas mwashambwa FaizaFoxy CC
 
All of these are mkapa plans . Udom is all Mkapa Udom hosp BEnjamin mkapa for a reason . Kikwete did nothing . Amna kitu chake. Hapo
Lete ushahidi
Tukimaliza tuweke vifungu vya sheria ya fedha kwa nini nasema sio mipango ya mkapa
 
Nadhani wewe uko nje ya nchi au unakaa Masaki.
Tuanze na wakulima, Bei ya mahindi umeporomoka toka 80,000 kwa gunia Hadi 60,000 serikali haina uwezo wa kuyanunua.
Foreign direct investment nchi haina umeme?
Ni mradi gani uliomalizika tangu aingie? SGR Dar/Moro mwaka wa Saba huu. Kwa taarifa yako ulikua ukamilike 2019. Sasa hivi Ni migomo na kazi inasuasua. Hakuna kichwa Cha treni Wala behewa.
Kule JNHEP nyufa ndio zimetawala (alisema naibu waziri mkuu)
Watu wanafunguliwa kesi za michongo kwa kuimba ukweli au kusema ukweli kuhusu DP w au wamaasai wanavyohamishwa kutoka ngorongoro.
Kaka Kama uko nje ya nchi, siku moja moja angalia tv za tz lkn sio tiibiisii.
Kwenye ilani Yao Dar zilikua zijengwe fly over kadhaa, ninachoona Ni foleni ya malori Kati ya kibaha na Chalinze na Ile ya kichefuchefu ya Tunduma. Imagine inachukua siku Hadi sita kwa lorry ku Kross boda na kuingia Zambia.
Mimi nashangaa, mnaleta DP W, Haya hayo makontena yakishatoka bandarini fasta, mtayapeleka wapi, maana pale border kuvuka Ni Hadi ukae pale six working days. Mawaziri wapo, makatibu wapo. Madereva wanateseka Tunduma.
 
Kwa sasa karibu dunia nzima ina shida. Hapo ni Zambia wananchi wanapiga foleni kwenda kununua unga. Bei ya unga haishikiki.
 

Attachments

  • FB_IMG_1695034875462.jpg
    41.8 KB · Views: 1
Hongera yako wewe mwenzetu ni mmoja wa wala keki ya Taifa.
 
At least mkuu unaandika kwa hoja, kongole kwako.

Bei ya mahindi imeshuka, ukilinganisha na kipindi kipi?
Maana kulikuwa na wito wa kupiga marufuku mahindi yasiuzwe nje ya nchi, je Ile amri ilitekelezwa? Naomba majibu.

Pili Gunia la mahindi awamu iliyopita yalikuwa yanauzwa shilingi ngapi ili tulinganishe na Sasa.

Unaelewa nini tukisema FDI ili tuone uhusiano wake na umeme?
Maana miaka yote ya JK na Magu FDI ilikuwepo, je tulikuwa tumejitosheleza na umeme?

Nadhani BRT Mbagala inazinduliwa mwezi wa kumi mwaka huu ngoja tuone, maana Mimi mbonde yangu macho

BRT Gongo la Mboto unaendelezwa

Sasa wameingia mkataba BRT phase ya Tano.

Mambo ya JNHEP ni Engineering works na mradi haujaisha hivyo tupunguze mhemko tusubiri mpaka pale utakapo fikisha at least 90% ndio tuuongelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…