G
Yaani we mzigua wa Dibamba utakuwa vizuri kwenye mila za waarabu kuliko waarabu wenyewe?😁😁😁Huo ni upumbavu wako tu
Katika UISLAMU mtanzania anaweza kuwa mbora kuliko mwarabu wa Makkah
Tena imekuja Aya kabisa katika suratul HUJURAT
Utalii tu ule😁😁😂😂😂🤣🤣 jiongeze wewe,waarabu wanajipigia pesa nje nje😂😂😁😁Hujui chochote bali unaropoka tu, hujui hata hizo gharama zinasababoshwa na nini
Hayo ni mawazo yako mkuu, tena kwa kuwa sio imani yako,ila kwangu mimi kwa kuwa hajj imeandikwa kwenye quran na naamini ni maneno ya mungu basi naifuata quran km muongozo, siwezi kuungana na ayatollah kuya challenge maneno ambayo naamini ni amri ya mungu maana labda yeye haamini quran hii ana quran yake, mimi kwangu kupingana na amri za mungu ni tabia za shetani maana alianzaga hivyo hivyo mpaka akafukuzwa na mungu, nasisitiza kuwa quran ni muongoza wangu sitafuata maneno tupu ya mtu ambayo hayapo kwenye muongozo,maana leo amesema hili kesho anaweza akaamka tu kwa utashi wake akasema kutoa sadaka ni wizi na kuzidi kunipotosha!.Hata hivyo maka ni upigaji tu ukichunguza ni kama utalii tu,chunguza halafu jiongeze why kiwango cha gharama kiwepo ??!!
Kauliza Swali? Waislam huwa mnapata nini mkienda Kuhiji
Na nyinyi munaanzisha lini mjadala wa kuhoji nini maana ya bibilia?Click link ufatilie mjadala mzima.
"Ayatollah anaiona, Hijja ni tukio la Kisiasa na akaendelea mbali akajibu zaidi"
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Tofauti ya Washia na Wassuni ni kuwa Washia hupenda kujadili mambo kwa hoja zaidi na hata huoji mambo yanayofundishwa na Wassuni mfano Nini maana ya "Quran ilishuswha"
Mleta mada acha kushadania mambo ambayo huyajui! kwanza ujuwe taifa la iran wengi ni mashia, na itikadi zao baadhi zinatofautiani na waislam walio wengi ktk dunia hii ambao ni sunni.
Ardhi takatifu imenajisiwa sana na makafir. Kuna namna mbadala unatafutwa.
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo.
Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.
Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam
Ingekua inafanyia kwenye nchi yake asingesema hayo. Ila maeneo ya hija hayapo Iran anataka kuwaaminisha watu ujinga wakeAyatollah zimeanza kumfyatuka Haji ni katika Arkani Al Islam tano.
Hapo ndipo waislam wanavyo anza kuleta chuki, huyu Ayatollah yeye anaona siasa lakini Qur'an inasema Haji mwenye uwezo lazima aende mara moja ya kwake hakuna Haji mara mbili, hao wanao enda ya pili ni kuwahijia wengine sio wao na Haji huwa ni mara moja kwa mwaka katika mwezi wa Dhuh Al haji
Ayatollah Khomen naona zinataka kumruka 😄 🤣
Ile kule 'Karbala' ?...yale ni maadhimisho ya kifo cha Imam Hussein sio hijja.Jua kuwa Mashia wana hijjah yao
Kwa hiyo hiyo sio hoja
Hakuna kitu kama hicho.Huo ni upumbavu wako tu
Katika UISLAMU mtanzania anaweza kuwa mbora kuliko mwarabu wa Makkah
Tena imekuja Aya kabisa katika suratul HUJURAT
Huu uzi wote unastahiki kufutwa kwa sababu muanzilishi hana uwezo wa kupembua kilichoandikwa.Ameleta tafsiri ya uongo.Hajui mtazamo wa waislamu kuhusu siasa.Anafikiria siasa kwa mtazamo wa Chadema na CCM
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo.
Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.
Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam
Kwahio unataka tukufuate wewe? Na uchizi wako?Kwahiyo sio Allah aliyesema kuwa kuna Nguzo tano za Uislam ni uamuzi tu wenu kumpangia Allah baada ya kuona alisahau kuwaambia hiz nguzo? na kama hivyo vingine havina umuhimu?
According to Quran Allah Aya 11:114 amesema Mfanye Salat mara 3 nyie kwanini mnafuata walimu wa Dini mnaswali mara 5? Mnamuabudu Allah au Mtume wenu
Establish prayer ˹O Prophet˺ at both ends of the day and in the early part of the night.1 Surely good deeds wipe out evil deeds. That is a reminder for the mindful.
Allah anasema Christian and Jews wanawaabudu Walimu na viongozi wa dini badala ya Kumuabudu Yesu na Allah...
Hii Aya Quran 9:31
ٱتَّخَذُوٓا۟ أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَـٰنَهُمْ أَرْبَابًۭا مِّن دُونِ ٱللَّهِ وَٱلْمَسِيحَ ٱبْنَ مَرْيَمَ وَمَآ أُمِرُوٓا۟ إِلَّا لِيَعْبُدُوٓا۟ إِلَـٰهًۭا وَٰحِدًۭا ۖ لَّآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ سُبْحَـٰنَهُۥ عَمَّا يُشْرِكُونَ ٣١
inaonekana ipo vive versa na uongo ni kutusingizia kuhusu walimu na viongozi Hatuwaabudu ila kwa Yesu yes Tunamuabudu, kama Aya ilivyosema, Kiukweli tunakuta Waislam ndio wanawabudu Walimu na viongozi Aliyayasema Allah hayafuatwi yanafuatwa ya Walimu na Viongozi hata FATWA ndio matokeo ya hiyo Aya kwa Wailslam Wamempiga teke Allah siku nyingi.
Hata Quran wameikusanya wenyewe na kuipanga wanavyojua wenyewe Aya ya kwanza ilikuwa ni Al-Alaq Mtume alipoambiwa Asome kwenye book imeweka ya 96 japo hajui kusoma na wala hakikuwa kitabu story ya ubunifu usio na akili. eti Malaika Jibril akamkwida mara tatu anamuambia soma jamaa mudy hajui kusoma na muambia njemba ya Allah sijui kusoma badala ya kumuambia nisome wapi wakati unaniambia nitamke. uongo tu jazzband maisha yaende.
And Pia prove uislam ni fake ni kuwa Wakina Allah ndio walisema ni kazi yao kuipanga Quran, 75:17 إِنَّ عَلَيْنَا جَمْعَهُۥ وَقُرْءَانَهُۥ ١٧ (Indeed, upon Us is its collection and its recitation.) lakini Uthman ndio alifanya hiyo kazi na quran zingine 6 akazichoma moto..
so Quran isiyo na makosa ya Allah itatoka lini maana bado yeye na wenzake wanaikusanya bado tuisome maana hii ya Uthman ni full vichekesho na contradiction haieleweki hata kwa waarabu wenyewe kila aya inatafsir wakati Allah alisema hii Quran imeshuka kwa kiarabu na kwa waarabu ikiwa ina full detail na inaeleweka... ''but'' ukiisoma haieleweki ukiwauliza waislam why haieleweki wanakuambia ni miracles ya Allah and mtume knows best hahahahaha
Ukisoma Quran unakuta Allah hajui kitu mbumbumbu mwarabu wa reli. bythe way alisema ukikuta kwenye Quran maneno yanayojichanganya na kupingana ujue hiyo sio Quran ya Allah, Quran 4:82 sasa Quran from page to page inajichanganya yenyewe nauliza Quran ya Allah ipo wapi?
Allah alijua mtakuja mzodoa mkipata akili so akajitoa hata aya za Shetani za Kuwabudu kwa watoto mabinti zake watatu wa Allah Al uzza,Manat na Al lat alisema sio zake ataziondoa lakini hadi leo zipo bila kusahau Hijja, Mudy allsema eti Iblis alikuja kwa sura ya Jibril.. Allah alikasirika nadhani ndio sababu ya kusema Mwamedi ndie Mtume wake wa Mwisho maana vituko vya binadamu amekoma...hahahahaha
Swaumu imetoka kwa Dini Sabians and uislam haujui why wanafunga na kwa sababu ya nini wao mbele kwa mbele tu imefikia hadi kusema eti shetani huwa anafungwa minyororo mwezi huo... According to Quran waliambiwa wafuate waliotangulia kupewa kitabu so wafunge issue inakuja waliotangulia kupewa kitabu wayahudi hawakufunga mwezi mzima and sio kufuata mwezi wa sabian ndio wanaabudu Nyota na Mwezi hata jinsi ya kuswali ndio wanafuata mwezi wa ramadhani ila wanaabudu hizo sayari so Allah nae ni Mwezi? proof zipo
Hija nazo ni ibada za kipagani so mkiambiwa mfuate waliowatangulia sasa hadi kaaba jiwe la wapagani nazo hizo ibada mnazifuata and mnajiita mnafuata Mungu wa Wayahudi hahahaha
Tafadhali ndio maana nikakuwekea ayaKwahiyo sio Allah aliyesema kuwa kuna Nguzo tano za Uislam ni uamuzi tu wenu kumpangia Allah baada ya kuona alisahau kuwaambia hiz nguzo? na kama hivyo vingine havina umuhimu?

Ile Ni tourism attraction, sema wameisokota na dini. Saudia wanaloga sana hela.🤣 🤣 🤣
Ayatollah, alisema haya wakati aongea na wanaenda Kujihi, akauliza Swali lingine sijaweka humu "Hijja imewasaidia Nini Waislam, kama Bado hawajaungana, akatolea mfano nchi za kiislam zinapigana"
Sasa Mimi nimepotosha Nini?Huu uzi wote unastahiki kufutwa kwa sababu muanzilishi hana uwezo wa kupembua kilichoandikwa.Ameleta tafsiri ya uongo.Hajui mtazamo wa waislamu kuhusu siasa.Anafikiria siasa kwa mtazamo wa Chadema na CCM
Anachosema Ayatollah ni kweli.Hakuna kuzuia siasa kwenye ibada ambayo muumba alikusudia iwe ni kwa ajili ya siasa.
Anataka Saudia wamuachie yeye aingize siasa iwapo wao hawajajua umuhimu wa ibada hiyo.
Wasabato ni wakristo au sio wakristo?Mashia ni Waislamu au siyo Waislamu?
Yaani we mzigua wa Dibamba utakuwa vizuri kwenye mila za waarabu kuliko waarabu wenyewe?😁😁😁Al-Hujurat 49:13
Wewe huyo hoja zake hazikusapoti kusini Wala kaskazini
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918962469667492032?t=iN8WOZv3h2FcnUUjAZnc7g&s=19
Spana za Ayatollah hazikuishia hapo, alikazia na Swali lingine.
"Hijja ni kwa faida ya binadamu, faida Gani?" 🤣🤣🤣🤣 Watu badala ya kujadili hoja za Msingi mnaanza kumsema Mzee wa watu
Soon wacheza porn wataanza kwenda Kuhiji Mecca