SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Umesahau na Chandarau boss... 😀 😀... Tunaita MSAADA na MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU wakati ni hela zetu zimerudishwa kwa njia zingine..Kama unaona ni tourism attraction na wewe anzisha yako upige hela
Hizo ni chuki na UISLAMU tu, wazungu wanakuja kupiga pesa hapa hapa bongo kwa kuiba madini, gas, mikata ya hivyo nk Kisha anawaletea ARV na Kondom za msaada mbona hamuongei?
Kwa kuwa imekuwa ni UISLAMU pamoja na kuwa haukupunguzieni Chochote ila kelele nyingi kama mmebanwa kende zenu
naomba kuuliza kitu, moja ya tafauti kubwa kati ya sunni na shia ni kwamba wale shia kiongozi wao ndo ayatollah ila nyie mnasema hamna kiongozi ila hawa kina bakwata kazi yao nn mbna kama wamekaa kama viongozi wenualafu huyo ana ugomvi wa kimadhehebu na saudia.***** ***** zote hizo hataki serikali ya saud isimamie hija kitu ambacho hakiwezekani
hata sijaelewanaomba kuuliza kitu, moja ya tafauti kubwa kati ya sunni na shia ni kwamba wale shia kiongozi wao ndo ayatollah ila nyie mnasema hamna kiongozi ila hawa kina bakwata kazi yao nn mbna kama wamekaa kama viongozi wenu
Huwa sijui unalenga nini!?Siku ndugu yangu akiwa kobazi basi na undugu unakufa. Kobazi akili zao za kijinga sana
Sio rahisi kuanzisha yangu Mkuu, samahani kwa kukukwaza, lakini ukweli ni ukweli tu hamna lolote jipya kwenda Kuhiji, ni imani tu. Sababu walioenda woote hamna jipya walilolileta. Ukitaka kutenda mema unatenda bila kwenda Hija, na Pepo utaiona. Kuna wengine wanaenda Israeli na Vatican kuona makaburi pia! Yote ni kujilisha upepo.Kama unaona ni tourism attraction na wewe anzisha yako upige hela
Hizo ni chuki na UISLAMU tu, wazungu wanakuja kupiga pesa hapa hapa bongo kwa kuiba madini, gas, mikata ya hivyo nk Kisha anawaletea ARV na Kondom za msaada mbona hamuongei?
Kwa kuwa imekuwa ni UISLAMU pamoja na kuwa haukupunguzieni Chochote ila kelele nyingi kama mmebanwa kende zenu
Acha bange mkuu😂😂😂😂😂😂doh basi kumbe ndio maana nilikosaga scholarship za uarabuni niliulizwa uislamu una nguzo ngapi? mimi nikasema inategemeana na ukubwa wa msikiti
Mkuu kobazi ni wafuasi wa mudi. Aliwadanganya mengi na nyie mpaka leo mnaamini ujinga. Fikiria kitu kidogo tu kuwa mnasema majini ni mdugu zenu 😂😂😂😂😂Huwa sijui unalenga nini!?
Kobazi ndio nani?
Je mnaojiita manabii wa upako sio wajinga!?
Doctor Janabi ni daktari bingwa na ni muislam wewe unamfikia kwa lipi?
Unaweza kuleta ushahidi kuwa uislam unasema majini ndugu zetu!??Mkuu kobazi ni wafuasi wa mudi. Aliwadanganya mengi na nyie mpaka leo mnaamini ujinga. Fikiria kitu kidogo tu kuwa mnasema majini ni mdugu zenu 😂😂😂😂😂
Nafasi ya kumcharaza mawe shetani ni mojawapo nafasi adhimu kabisa huko hijja!Ayatollah ana hoja
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Alienda mbali zaidi akauliza "Hija imesaidia Nini umma wa Waislam?", na akaenda mbali zaidi akatoa mfano wa shida Kobazi wanazopitia kwenye inchi zao wakati kila mwaka wanakutana Hijja, ila hawaungani kwenye mambo ya kibinadamu
sasa huyo shetani anakaaga sehem moja miaka 100Nafasi ya kumcharaza mawe shetani ni mojawapo nafasi adhimu kabisa huko hijja!
Ni wapi pengine utaonana uso kwa uso na shetani na uweze kumpiga mawe zaidi ya hijja? Hiyo ndio offer muhimu hijja.
Mungu mmoja anasema tumemuumba mtu kwa tone la manii.Unaweza kuleta ushahidi kuwa uislam unasema majini ndugu zetu!??
Nasubiri jibu.
Kama waislam wamemezeshwa ujinga vipi kuhusu ninyi wakristo mnaoamini utatu takatifu?
Mungu ni Yehova au Yesu!?
Yesu alikufa kisa dhambi zenu,kimantiki hivi inaingia akilini Mungu kujiadhibu kisa amekosewa!?
Ndio ni sahihi.Mungu mmoja anasema tumemuumba mtu kwa tone la manii.
Msimu ukifika anarudi kwenda kupigwa mawe.sasa huyo shetani anakaaga sehem moja miaka 100
Shia ni dhehebu kwenye uislam,sunni,ni dhehebu kama ilivyo ansaaar,ahmadiya,ibaadh nk ,yote ni madhehebu kwenye uislamMleta mada acha kushadania mambo ambayo huyajui! kwanza ujuwe taifa la iran wengi ni mashia, na itikadi zao baadhi zinatofautiani na waislam walio wengi ktk dunia hii ambao ni sunni.
Mfuasi wa mpenda ngono na kahaba Muhammad unawaza ngono tu kama mtume wako.Kwa akili hizi tunapoteza muda kujadiliana na wagalatia
Yaani tukomae na maneno ya mtu tuache mafundisho?
Ndio maana mnakulana tigo kisa papa karuhusu
Wanaendaje Sasa na wakati Wana majini wanaswali nayo na majini ni watumishi wa shetani. Mbona. Watu wajinga sana awa.Msimu ukifika anarudi kwenda kupigwa mawe.
Hahahaaaa sana kawaambia wanaswali na majini alafu wanaenda kumtupia mawe shetani wakati watoto wa shetani majini wapo nao kwenye swalaKobazi Mudi aliwatapeli akili
Unatafuta ugomvi mkuuHivi Hajj ndio nini, au ndie Haji manara??