Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Kwahiyo Uislamu unataka nini ?Mbona unajivuruga!?
Armenia ilitawaliwa chini ya Ottoman Empire himaya ya kiislam ikiwa Armenia ni Jimbo la kikristo na likiwa na makanisa mengi.
Madai yako ya uongo kuwa uislam ulilazimisha ama unalazimisha watu kusilimu ni ya uongo.
Hata hiyo Istanbul ambayo ni Constantinople ya zamani ilipotwaliwa makanisa yaliachwa na wakristo waliabudu hadi leo.
Huwa hamkosi cha kuropoka ama kudanganya.
Acha ujinga wewe Kuna hijjah na umrah vitu tofautiHaji inafanyika mara moja kwa mtu mmojq ,ila huku shekhe wa BAKWATA Kila mwaka anaendaπ€£π€£π€£...Hajj ukiangalia watu maarufu kila mwaka wanaenda wakati inafanyika mara moja tu...Sasa watu wale wale wanaenda kila mwaka na wengine wapya basi kunajaa sana
Iran wana hijjah yao mzee acha kuropokaMatawi yote yamekatika hakuna pa kudandia naona Iran nae kaona kuna usanii kwenye hijja
Hujui chochote bali unaropoka tu, hujui hata hizo gharama zinasababoshwa na niniHata hivyo maka ni upigaji tu ukichunguza ni kama utalii tu,chunguza halafu jiongeze why kiwango cha gharama kiwepo ??!!
Endelea hivyo hivyo kutowajua maana hujataka kuwajuaWaislam mnashida sana kwakweli
Naomba niulize swali uislam wa kweli ni upi na mwisilam wa kweli ni Nan?
Maana kwenu bakwata siyo waislam
Iran naye tena kumbe ni makafiri siyo waislam
Jana nilikuwa na mwisilam mmoja akasema Dubai siyo waislam nikamuuliza ni watu gani wale hakunipa jibu
Sasa basi naomba kujua waislam ni kina nani
Hammaz Kosugi gTurn
Hao mashia wanaafikiana na nyinyi wagalatiaClick link ufatilie mjadala mzima.
"Ayatollah anaiona, Hijja ni tukio la Kisiasa na akaendelea mbali akajibu zaidi"
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Tofauti ya Washia na Wassuni ni kuwa Washia hupenda kujadili mambo kwa hoja zaidi na hata huoji mambo yanayofundishwa na Wassuni mfano Nini maana ya "Quran ilishuswha"
Anapinga kwenda Makkah ila wana hija piaSasa tafsri ya alichosema Ayatollah inahusiana Nini na Ushia Wake.
Kasema neno la Msingi, "The all escence of bringing that large number of people is political" huu ni ukweli, ukienda Kuhiji hakuna kitu Mungu anapata na pia sio dhambi kutokwenda.. sababu ya Kuhiji ilikuwa ni kuwa unganisha Waarabu na makabila (Politics) kila mwaka wakifanya biashara, kujadili masuala ya kijamii na mwisho Ndio kuabudu miungu yao
Unasubiria jibu la nini?Nasubilia jibu
Nyinyi wagalatia mnaelewana ?Wenyewe kwa wenyewe hamuelewani:
Na ndio mnataka kuisilimisha dunia na kusimika dola la Kiislamu duniani:
Nyie ni Kirusi cha maisha bora:
Wamewashinda hata WAHADZABE kwa kuishi kwa amani baina yenu na majirani:
Dini ya Wahaszabe ni bora kupita Dini ya Kiislamu:
Wahdabe wametulia na kupendana: nyie ni kuuwana tu kwa Amri ya Dini:
Mimi ni bora nifuate Dini ya Wahadzabe kuliko Dini ya Kiislamu:
Ni kutwa kuchwa kuwaita majirani zenu kuwa ni makafiri hali ya kuwa na nyinyi ni watenda dhambi wakubwa:.
Uislamu hauna jambo la maana zaidi ya kueneza chuki kwa wasio Waislamu
Ndiyo lengo mojawapo ya ibada za kiislam,umoja,kumbuka aya mwenyezi Mungu anasifu waumini walivyopanga safu kama matofali kwenye jengoNi kweli kabisa, hajapinga Hajj, anachosema ni kuwa mbali na ibada, Hajj iwe platform ya kumobilize political affairs za Muslims na kuimarisha unity. Ila naona kumekuwa na misconception humu.
Zitaje angalau mia Halafu mimi nitakuletea 73 tu
Alafu nimegundua wewe ni kafiriUnasubiria jibu la nini?
Hoja yenu si huyo mshia?
Aya pamoja na hadithi tena kutoka Bukhari na Muslim hamzioni
Hizo ndio hoja? Lengo la hija ndio hilo?Ayatollah ana hoja
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Alienda mbali zaidi akauliza "Hija imesaidia Nini umma wa Waislam?", na akaenda mbali zaidi akatoa mfano wa shida Kobazi wanazopitia kwenye inchi zao wakati kila mwaka wanakutana Hijja, ila hawaungani kwenye mambo ya kibinadamu
Mimi ni kafiri ndio napinga wagalatia na ibada zaoAlafu nimegundua wewe ni kafiri
Haiwezekan wewe tu ndo uko sahihi, waislam wenzio kwenye comment wote unapita unawatupia matusi tu
Wasabato wakiislam hao.Nimewahi kukutana na jamii ya waislam huko Tanga wanajiita twariqa qadiriya, wao misikiti yao haina upande wa jinsia ya kike ni hall tu
Kwao mwanamke haingii kabisa msikitini wanadai mwanamke hairuhusiwi kuswalia masjid, na hata kufunga na kufungua mwezi ramadhan kuna tofauti na hawa wengine
Na huwa hawafuati maagizo ya mufti wanadai BAKWATA ni taasisi ya serikali, niliiswali nao mda fulani na nikajiridhisha wao ni waIran na misaada yao mingi inatoka Iran
Nadhani kuna namna Iran huionea wivu Saudia kupokea mahujaji kwa kuwa inapata fedha nyingi sana za kigeni "inawezekana ni kweli Saudia walibuni mbinu"
Hoja kwa wewe mpumbavu katika diniπ€£ π€£ π€£
Sema wewe... Imam Ayatollah ana hoja kubwa sana, anauliza "Hijja imewasaidia Nini Waislam?, au mnatapeliwa tu na Saudia?"
Yaani mgalatia uwaone waislamu sahihiAsante sana niliona hiyo
Ila Mimi naona mashia ndo waislam sahihi siyo hawa wasuni akina kosugi
Mihemuko mingi hakuna kitu wanachokijua
Huo ni upumbavu wako tuKwamba wewe Mndali wa Kilwa Kipatimo unaujua uislam kuliko mwarabu?ππππππππ