kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Jinga kubwa wewe ,mkataba Gani huu ,kwahiyo hata ruvu shooting asiuzweMakubaliano ya kimkataba waliyopewa azam ni ngumu kumuuza ndani ya nchi endapo watataka option ni kumuuza nje ya nchi na sio vinginevyo!
Tumeongea naye mpaka mwisho,, ndio maana mnaambiwa msiogope bei, ongea una shin ngapi???Eti milioni 350, ili msimuache kinyonge mnaanza kutajataja tu figaz. Manasahau mlisema bila bilioni 1 haondoki.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ingekua ndo Simba imemnunua pasingekalika mjini..
Siyo swala la pesa,Hersi na wachawi wote wa Yanga ukiwemo wewe mlikuwa mnamuombea Fei apotee kabisa kwenye ramani ya soka duniani, hivyo roho zenu mbaya zimeshindwa,mama kategua hila na mtego wenu.Hizi ndizo akili za wajinga, Hersi kapoteza nini labda tueleze
Huyooo mbona anakuja SimbaHakika..hao vyura wangeongea sana..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si ndiyo ile milioni 110. Kumbuka pia mkataba unamruhusu kuuvunja mwishoni mwa msimu na msimu ndiyo huu unaisha.
Ninaona uwezekano mkubwa kwa Feisal kuondoka bila kulipa hata hiyo milioni 100 maana mlishaingiza siasa za kulipana fadhila na kulishana ubwabwa.
Kapoteza Ego,alishawahi mjibu Fei aende Pemba.Pia Hersi alikuwa amekamia kumkomesha Fei.Sasa Fei kashinda.Hizi ndizo akili za wajinga, Hersi kapoteza nini labda tueleze
Yaani umnunue mchezaje wa hapo zanzibar then umpangie masharti?Makubaliano ya kimkataba waliyopewa azam ni ngumu kumuuza ndani ya nchi endapo watataka option ni kumuuza nje ya nchi na sio vinginevyo!
Simba hakuna hela wewe.Huyooo mbona anakuja Simba
Fei ameenda a
Azam kimkakati
Feisal ametoa pesa ile ile mliyoikataa mwanzo .Kwanza kabisa mlitaka abaki,dogo akazidi kuweka ngumu hatimae mkakubali yaishe akaweka 112MAcha wehu wewe, usiwe na mihemko inayokuzidi kwa vitu usivyovijua wala kuelewa, Azam wameweka pesa si chini ya 350milioni kuvunja mkataba wake, habari ndiyo iyo!
Wazanzibari 3 ,Tanganyika 1 ,Somalia 0.
Wazanzibari wameshinda Mama,Azam na Fei Toto.
Huyo Hersi msomali kapata zero.
Ila inaipasuaga sana simbaAzam = Simba B
Awepo anafanya nini?kwahiyo tar 12 kwenye fianali atakuwepo!? Basi sawa.
Shinikizo? Ameweka nani hilo shinikizo?Una uhakika wameweka mpunga wowote? Waweke pesa yoyote ya maana wakati wanajua Yanga wamepewa shinikizo kulimaliza suala lake? Sanasana ambacho mnaweza kuwa mmeambulia ni ile ile milioni 100 mliyopewa mwanzo mkairudisha.
Yule dogo keshapotea kwenye ulimwengu wa soka! Yanga ukiondoka kiwango unakiacha pale pale! Hawezi kurudi tena katika ule ubora aliokuwa nao!Siyo swala la pesa,Hersi na wachawi wote wa Yanga ukiwemo wewe mlikuwa mnamuombea Fei apotee kabisa kwenye ramani ya soka duniani, hivyo roho zenu mbaya zimeshindwa,mama kategua hila na mtego wenu.
Jana nilileta mkeka wa pesa mliyopokea kutoka serikalini kwa kipindi cha miezi hii 6 iliyopita na inafika hiyo milioni 350 mnayoitaja sasa. Kwa hiyo kliichofanyika ni kukumbushana tu na kuambiwa hambinywi katika biashara zenu. Haihitaji kuwa jiniasi kuelewa kilichokuwa kifuate.Tumeongea naye mpaka mwisho,, ndio maana mnaambiwa msiogope bei, ongea una shin ngapi???
Kashinda kwa mbeleko ya mama kutoka Zenj! Angeachwa aende CAS tuone mwisho wake!Kapoteza Ego,alishawahi mjibu Fei aende Pemba.Pia Hersi alikuwa amekamia kumkomesha Fei.Sasa Fei kashinda.
Dada una chuki kubwa mno mno,Wazanzibari 3 ,Tanganyika 1 ,Somalia 0.
Wazanzibari wameshinda Mama,Azam na Fei Toto.
Huyo Hersi msomali kapata zero.
Kasoma Dit ujue huyoMsomali huyo,sema wasomali wanajua kukamata fursa.Wanashine sana hapa Tanganyika,kuliko hata wazawa wenyewe.
Atachezaje sasa? kwa kanuni zipi? ligi kabla ya kuanza kila timu hupeleka majina ya wachezaji wataotumika msimu husika, Fei jina lilitumwa na Yanga na msimu bado haujaisha hawezi kucheza hiyo mechiNingependa acheze siku hiyo