kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Jinga kubwa wewe ,mkataba Gani huu ,kwahiyo hata ruvu shooting asiuzweMakubaliano ya kimkataba waliyopewa azam ni ngumu kumuuza ndani ya nchi endapo watataka option ni kumuuza nje ya nchi na sio vinginevyo!
Je,ikitokea kashuka kiwango Azam hawamuhitaji ,watampeleka wapi au yeye ikitokea zengwe na Azam alkitaka kutimukia dodoma jiji ,itakuwaje .....
Mkataba lazima uwe na sehemu yakutokea bwana