Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

Nichukue nafasi hii kuwapa pole ndugu zangu mnaotumia Azam..poleni Sana.
 
Inawezekana gharama za uendeshaji zimeongezeka, kodi n.k ambazo mtumiaji ndio anayebebeshwa.
 
Wanatuuzia godoro afu wanatunyima usingizi
 
Hicho kifurushi cha buku ni cha katuni au [emoji2]
Hicho ni cha siku kwa wale watumiaji wa antenna, ki mahesabu ni gharama sana, kwani kwa mwezi labda kifurushi hicho ni tsh.13000, ukiona ni kubwa basi lipa 1000 kwa siku!!
 
Watz wengine kulalamika tu hata iongezeke 100 watapiga kelele na pengine wao hawana hata hivo TV
Tunatizama kwa majirani,sasa wataanza kututoza pesa kutizama BONDITA
 
Vita hatari sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndo najaribu kuhusanisha mafuta na vifurushi vya Azam!πŸ™ƒ
 
Kama kila kitu kinapanda kwa nini nao wasipandishe?

Ni wakati sasa wa kila mtu kupandisha bei ya vitu unavyozalisha, kama huzalishi imekula kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…