Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

huyo dstv ndo hamumuwezi kabisa huyo hataki longolongo kwanza kwa hili tu sasahivi mngekuwa mnamlipa mabilioni ya pesa!, nyie mmezoea ukiritimba
Nafikiri anayepaswa kuwajibishwa ni yule aliyepelekea mchezo kuairishwa
 
Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Itarushwa na DSTV kwani Kila siku iwe wao tu?
 
Ukisoma barua yao siku ilipohairishwa mechi, walikula hasara.
 
Au yuko zake Chalinze anakimbiza mabasi ili kuuza mananasi yake, basi anaona kila kitu ni rahisi tu! 😁
Kwaiyo unazani uwezo wa kulipa fidia ya mkataba na kuuvunja rasmi apewe tenda mtu mwengine haupo?
 
DSTV huyu huyu aliye hati hati kung'atuka na kuwaacha Canal au unajitekenya na kucheka mwenyewe?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Unataka kumaanisha hana hela ya kumreplace azam au ndiyo mtatumia ujanja ule ule wa kuzuia star link Tz ili kampuni za mawasiliano za wazawa zibaki sokoni?
 
Kwaiyo unazani uwezo wa kulipa fidia ya mkataba na kuuvunja rasmi apewe tenda mtu mwengine haupo?
Hao DSTV ni kwamba hela zao zimekosa shughuli ya kufanyia mpaka waamue kuja kuzipoteza kwenye hii ligi inayo ongozwa na vilaza akina Karia na Mguto!

Nadhani Azam Media wanastahili pongezi na pia kuheshimiwa sana, kwa sababu ya kuwa na moyo wa kuvumilia upuuzi na utoto kama ule wa tarehe 8 March, 2025!
 
Hakuna video,zingekuwepo ungeshaona siku nyingi sana
 
Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Wasiporusha ndio inakuwa hasara zaidi, pesa za matangazo ya biashara watakosa.

Vv
 
Simba wanavyo jitutumua sasa hivi utadhani siyo wale walio kimbia Tarehe 08.
 
Unataka kumaanisha hana hela ya kumreplace azam au ndiyo mtatumia ujanja ule ule wa kuzuia star link Tz ili kampuni za mawasiliano za wazawa zibaki sokoni?
Uwezo si kigezo cha Mfanyabiashara kukubalika nchi zetu hizi za dunia ya 3.
Chunguza vizuri kisha uje na majibu hapa kunishukuru.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hakuna report wala hotpot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…