ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Sasa kama kesi ipo kwenye uchunguzi wamepanga tarehe ya mechi ya nini bila kupata solution ya kilicho sababisha mechi ya tarehe 8 ivunjike?Zipo kesi si ipo kwny uchunguzi? TFF sio kwamba Simba haiwasubirii wajikoroge kwny maamuzi Simba na wao inawangalia hao TFF wajikoroge
Basi watoe sufuria..Hakuna report wala hotpot
Kuna kitu wanaficha kwenye ripoti na akili zinasema kinawahusu Uto....na mnavyolazimisha mtabaki midomo wazi...Sasa kama kesi ipo kwenye uchunguzi wamepanga tarehe ya mechi ya nini bila kupata solution ya kilicho sababisha mechi ya tarehe 8 ivunjike?
Hakuna hio kitu kama Yanga wangekua na makosa wasingepata kiburi cha kukataa kucheza mechi , subiri utaona hii kitu inaondoka na mtuKuna kitu wanaficha kwenye ripoti na akili zinasema kinawahusu Uto....na mnavyolazimisha mtabaki midomo wazi...
Walisaini miaka 10 na ndio waliofufua hii ligiHana hiyo jeuri, huduma yake anawezapigwa chini vizuri tu tukampa mkataba DStv aonyeshe ligi ya ndani halafu tuone nani atapata hasara zaidi
Haya kaka ukikaidi...tutaonaHakuna hio kitu kama Yanga wangekua na makosa wasingepata kiburi cha kukataa kucheza mechi , subiri utaona hii kitu inaondoka na mtu
Unafikiri ni jambo jepesi kma unavyochuchuma kuharisha!Hana hiyo jeuri, huduma yake anawezapigwa chini vizuri tu tukampa mkataba DStv aonyeshe ligi ya ndani halafu tuone nani atapata hasara zaidi
Mtu anayeuza viazi kwenye mabasi wew unamchukuliaje ...kwamba ni maskin sana Hana thamani...Ukiwa zako hapo Gairo unakimbiza mabasi kuuza viazi unaweza tu kuwapa DStv au vipi
Wewe hauchuchumai kuharishaga?Unafikiri ni jambo jepesi kma unavyochuchuma kuharisha!
We huogopi 😂Ubaya ubwege
We unawajua vizuri DSTV wewe!!? Hawana mambo ya kijinga, nyie makolo mnaweza kuwapa mkataba gani nyie!!?Hana hiyo jeuri, huduma yake anawezapigwa chini vizuri tu tukampa mkataba DStv aonyeshe ligi ya ndani halafu tuone nani atapata hasara zaidi
Wewe ndiyo BODI YA LIGI? 😆Waambie wapunguze maringo na mikwara
Kacheze unakochezaga 😆😆Hata wakisusa sisi tunacheza🥰
Ubaya ubwela
Sawa tutacheza nao tuUtacheza na TFF
sisi na HATUCHEZI yetu tutaeleweka tu...Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.