zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ungeangalia makala ya startimes wakionyesha jinsi watanzania wanavyofanya dubbing kule China ingekusaidia sana ila kwa kufupisha ni wanasoma Script wanaandikiwa wao ni kucheza na mdomo tu hakuna cha kujua lugha walioenda China hata kiChina hawajui dubbing ni sanaa ukitaka kufanya dubbing inabidi ujue kuigiza sautinakataa kuamini dubbing inafanywa kwa kuangalia subtitles
inabidi dubber ajue lugha husika
mfano sentensi ya kiingereza "head in the clouds" ukiitafsiri kama ilivyo mtazamaji atapoteza maana kwasababu huo ni msemo unaomaanisha mtu kapoteza umakini
kuna mafunzo fulani inabidi upitie
Leo nipo hom..Unakuaje na njaa? Kwani mashangazi wako wakwapi leo?
Mkuu kwanini id yako ina hiyo pichaKabla ya azam tv kuzaliwa tulikua na star tv ilikua na tamthilia za kifilipino, lakini wao waliziprogram kuwa na sauti ya kiingereza.
Yani unapewa kishkwambi na orodha ya maneno unayarudia karibu siku nzima, ila yanayokubalika ni machache, unakuta umepata 15,000, hapo kumbuka bando ni lakoHaikuwa inalipa hata kidogo?Kwamba hawakuwa wanalipa kabisa?
anayeandaa script ndo atakuwa anakula dau nonoUngeangalia makala ya startimes wakionyesha jinsi watanzania wanavyofanya dubbing kule China ingekusaidia sana ila kwa kufupisha ni wanasoma Script wanaandikiwa wao ni kucheza na mdomo tu hakuna cha kujua lugha walioenda China hata kiChina hawajui dubbing ni sanaa ukitaka kufanya dubbing inabidi ujue kuigiza sauti
Inakuja na subtitles.nakataa kuamini dubbing inafanywa kwa kuangalia subtitles
inabidi dubber ajue lugha husika
mfano sentensi ya kiingereza "head in the clouds" ukiitafsiri kama ilivyo mtazamaji atapoteza maana kwasababu huo ni msemo unaomaanisha mtu kapoteza umakini
kuna mafunzo fulani inabidi upitie
Namuenzi huyu jamaa alikua ni jitu tajiri sana, lakini mbele ya kifo utajiri wake haukumsaidia ilibidi atumie mbinu yakujifanya anamtoto ili aweze kuokoa uhai wake.Mkuu kwanini id yako ina hiyo picha
Watia sauti huwa wansoma script inayotaarishwa na mtafsiri yeye kazi yake ni kutia sauti tu na si kutafsirichangamoto itakuwa ni ngumu kuwapata
watanzania wanaojua kituruki, kikorea, watakuwa wachache
au wanawafundisha wenyewe?
halafu si unajua huku bongo ukisoma kozi za lugha unadharaulika
subtitles ama script?Inakuja na subtitles.
Anayefanya dubbing hana haja ya kujua lugha husika.
Hua wanaendesha auditions ila kuanzia audition mpaka mtu kupata kazi kama hana connection hatokuja kuitwa
Azam hawatumii Program yoyote Bali watu halisi wanaoingiza sauti kutokana na Script wanazopewa zinazokuwa zimetafsiriwa tayari kwa kiswahili.Program huweza kutengeneza sauti kulingana na physical apearance ya character mfano mtu kama ni bonge ita shape sauti kulingana na muonekano wake
Daaah mkuu hi muvi jana nimeicheki sana aiseeee..mkuu huu mzigo ulikua hatareeeee.Namuenzi huyu jamaa alikua ni jitu tajiri sana, lakini mbele ya kifo utajiri wake haukumsaidia ilibidi atumie mbinu yakujifanya anamtoto ili aweze kuokoa uhai wake.
Mkuu nadhan waliopewa tenda ambao mostly ni studio ya back yard ndio wenye watu wale wale. Karibu kazi zote ziwe azam, dstv zinafanyika pale.Lengo lenu ni zuri sana, lakini kitendo cha kazi nyingi za sanaa kutoka nje ya Tanzania zinazotafsiriwa kwa kiswahili kuwa na sauti zile zile kwa kazi tofauti tofauti, siyo sawa.
Itapendeza kama mtaweza kuwa na watia sauti tofauti wengi kuliko Kila kazi ya sanaa kutumia sauti zile zile za watia sauti.
Sasa hilo ni tatizo kubwa sana!!Mkuu nadhan waliopewa tenda ambao mostly ni studio ya back yard ndio wenye watu wale wale. Karibu kazi zote ziwe azam, dstv zinafanyika pale.
Directorsanayeandaa script ndo atakuwa anakula dau nono
Bado wanandelea kuuza wako top 4 yaDaaah mkuu hi muvi jana nimeicheki sana aiseeee..mkuu huu mzigo ulikua hatareeeee.
Tusibri namba mbili tuone maisha yalikuaje baada ya kupona aiseeeee
Sema mkuu ile si kazi ndogo na ni gharama sana. Mimi nilishapata tenda ya kufanya voice over kwa tamthlia fulani ya kituruki na pesa ndefu sana ila ilibidi niipige chini. Ile kazi si ndogo aisee sema ina ela.Sasa hilo ni tatizo kubwa sana!!
Sio kweli Azam wana studio yao palepale Tabata hivi hamfuatilii makala zao za dubbing mboni wana vipindi hivyo hua wanaonyesha behind nini kinachofanyikaMkuu nadhan waliopewa tenda ambao mostly ni studio ya back yard ndio wenye watu wale wale. Karibu kazi zote ziwe azam, dstv zinafanyika pale.
Hapo unazungumzia kuingiza sauti au kusimamia kuingiza sauti unazungumzia ugumu wa kazi kwa muongozaji au kwa muingiza sauti?Sema mkuu ile si kazi ndogo na ni gharama sana. Mimi nilishapata tenda ya kufanya voice over kwa tamthlia fulani ya kituruki na pesa ndefu sana ila ilibidi niipige chini. Ile kazi si ndogo aisee sema ina ela.