Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Halafu wa mlengo mwingine ndio wanafeli na kuonekana wadhalimu na dhaifu sana... yaani hata kubalance hizo filamu zao wanashindwa.🤣🤣🤣
Tena na misalaba yao kifuani😂
 
Kwanini usidili na wale wako chini ya mamlaka yako. Kama unaona ina maudhui ya upande mmoja, suluhisho ni kutokuwa mteja wao ila ukisema uwapangie cha kuonyesha utakuwa hujawatendea haki pia.
Wikendi nabadili kisimbuzi
 
Unakuta mgalatia nae anakenua mdomo na kukodoa macho from saa nne mpaka saa tano..nilishawakataza wanangu kuangalia hizo tamthilia zao za mapanga shwaaa..na za kidini hazimfundishi mtt wa kikristu lolote...
 
wakati mwingine njia bora ya kumwepuka mtu mjinga ni kukaa mbali naye.

binafsi huwa sioni mantiki ya kuingia ndani ya nyumba ya mtu halafu kuanza kupambana na ujinga uliopo ndani ya nyumba yake,mwache nao angalia mitikasi yako.

sio azam tu peke yake,ndugu zetu ktk imani huwa hawana utamaduni wa kutambua au kuheshimu imani nyingine,labd andivyo walivyofundishwa,suluhisho ni kutotumia bidhaa zao kabisa.sio kugome,hapana ni kujiepusha na makasiriko madogo madogo.
 
Achana na tamthilia tazama vipindi vingine
Usiwapangie watu , huwezi nunua Star times
 
Mm n mkristo lakin nilikuwa naipenda sana ottoman mpaka Leo napenda kufatilia mana n story ya kweli
 
Unamaanisha crusaders sio? Waliua pia wakristo, na ile ni historia ya kweli, crusader ni kama unavyoona Nazi, Fascists ama Zionism ni movement tu za watu weupe ambao walikua wakijiona superior na wana haki ya kutawala dunia, na wengine si viumbe vikamilifu.
 
wagalatia bana, kwahio mkuu umeona dada wa kiislmau kashika panga anakata vichwa wagalatia wenzio umehuzunika sana
 
Hakuna maudhui yeyote ya Kiislamu kwenye tamthilia za kituruki,kama kweli unauelewa uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…