Azam Tv wazindua chaneli mpya Azam Sports 4HD, watarusha La liga pamoja na Serie A

Hivi Azam usipolipa wanazima local channels?
 
Azam one walitisha saana Na blacklist
 
🤣🤣🤣 dah! Mm nmejionea tabu tu
Ukiwaambia mbaya watakuchamba hatari
Mie nishawahi chambwa kisa nimeipnda kuwa ni mbaya

Wamama na mambo ya epl wapi na wapi
Movie za kizungu
Hawaelewi chochote

Zao ni hizohizo za Azam za kina Amina vicoba na za vigodoro.
 
Ligi ya Ujerumani
 
sasa wasipojitangaza fedha zao watarudisha vipi,uneona kamera walizozindua leo? moja ni milioni 500 na wamenunua 6,vipi watarudisha fedha zao?
Tuwe wakweli tu, hivi hizo pesa azamu anazotumia kuwekeza kwenye tv, hasa kwenye mambo ya mpira zinatokana na mapato ya tv? Sio kweli, na hilo walishalisema siku nyingi tu,
 
😁😁 Azam one at least movie kali ndio natulia hapo, pakinishinda naenda kucheka na cheka plus.

League ikianza itakuwa poa.
wacha sahii nibaki na Jua kali na Mpali😁

Mimi nayetumia vyote maua nawapa Dstv 💥


Ukiwaambia mbaya watakuchamba hatari
Mie nishawahi chambwa kisa nimeipnda kuwa ni mbaya

Wamama na mambo ya epl wapi na wapi
Movie za kizungu
Hawaelewi chochote

Zao ni hizohizo za Azam za kina Amina vicoba na za vigodoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…