mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Dstv mabingwa wa kidigitali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Azam usipolipa wanazima local channels?Nje ya mpira wa bongo hamna kitu kinanivutia azam.
Ila uswahilini huwaambii kitu kuhusu azam, na pia jamaa wanajitangaza mno mno.
Haipiti siku hujasikia tangazo la azam media iwe redioni, au huko kwenye harakati utakutana nao tu wanazunguka na magari yao au myamvuli yao wanauza madishi.
Dstv iko poa sana tatizo gharama.
Azam one walitisha saana Na blacklistMimi naangalia sana Azam One ile channell ina series na Movie kali, ila sijui kwanini watu wengi wanapenda Azam Two ila kiuhalisia anaesimamia Azam One anaweza vitu vizuri sana. Alafu series za Azam One sio ndefu kama zile za Azam Two watu wanaangalia mwaka mzima kitu kimoja.
IpiWamejitahidi sana wanastahili pongezi
Mjanja hivi upo azamHivi Azam usipolipa wanazima local channels?
KRem maishaazam ndio kituo bora zaidi Tanzania Afrika mashariki na kati.
waajiri watangazaji mahiri na waledi
Ukiwaambia mbaya watakuchamba hatari🤣🤣🤣 dah! Mm nmejionea tabu tu
😃😃😃 Si wamepelekwa korea huenda wataaanza kueleweka sasaWanaiba kwa mtu ambaye hafatilii yale ma tamthiliya.
Nimejaribu kuiangalia hiyo Karma na Golden boy hata sielewi. Shunie Saint Anne
Basi nakesha cheka plus tu.
EPL wanauza kwa Zone, afrika zone yetu ni sub sahara ambapo inabidi ajikite kuanzia nigeria ghana hadi south ili aweze ku bid na kuwashinda DSTV. anyway hakuna lisiloshindikana japo kuna mlima. EPL haiuzwi rejareja, wanauza jumla kwa Zones dunia nzimaWarushe EPL kaburu akalime matikiti kwao.
Ligi ya UjerumaniAzam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A)
Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024.
Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League and Confederation Cup.
Mkuu sub sahara kaburu kateka skysport miaka 10 mbele labda tuwe tunaomba kwa wafaransa na waarabu! Ni sawa na dstv kurusha NBC kwa sasa hawezi kwa miaka 10 mbele maana naye Azam kakaba!Warushe EPL kaburu akalime matikiti kwao.
Nime subscribe last weekend kwa ajili ya familia tu. Mimi sio mpenzi wa TV but music ndio sanaMjanja hivi upo azam
Wataiuza lini!!?japo ni kweli Kuna chanel ya DStv epl kwenye canal Hadi uongeze 30000/=!Dstv haitakuwepo maana inauzwa kwa Canal
Hapo utasubiri sana! Kwani hata sasa si wanaonyesha hiyo mechi moja moja?!!Tunasubiria EPL
Tuwe wakweli tu, hivi hizo pesa azamu anazotumia kuwekeza kwenye tv, hasa kwenye mambo ya mpira zinatokana na mapato ya tv? Sio kweli, na hilo walishalisema siku nyingi tu,sasa wasipojitangaza fedha zao watarudisha vipi,uneona kamera walizozindua leo? moja ni milioni 500 na wamenunua 6,vipi watarudisha fedha zao?
Ukiwaambia mbaya watakuchamba hatari
Mie nishawahi chambwa kisa nimeipnda kuwa ni mbaya
Wamama na mambo ya epl wapi na wapi
Movie za kizungu
Hawaelewi chochote
Zao ni hizohizo za Azam za kina Amina vicoba na za vigodoro.