Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500


ITV ya mengi imeshindwa kabisa kuwa na HDπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni pesa ya ving'amuzi vya robo wateja tu!
 
Kongole kwao
 
Kabisa mkuu... Wala sio uwongo aiseee
Imekaa vizuri sana, tusipowapongeza tutakuwa wanafiki kabisa.
Hongera kwa uongozi, CEO, Wakurugenzi Tido Mhando & Patrick Kahemele na all staff members wa Azam Media, bila kimsahau TOP MANYOTA MZEE BHARESA mwenyewe.πŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊπŸŒ·πŸŒ·πŸŒ·πŸŒ·πŸ’πŸ’ Chukueni maua yenu
 
Ahsante sana mkuu zimefika..
Ongezea na mafundi mitambo nyuma ya camera ahahahah
 
Huyo bakhresa wako wakiamua kumtia umasikini ni dakika tu.

Tafuta huu uzi πŸ‘‰ Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi​



NMB na BAKRESA nani anapesa? Hawawezi wakamtia umasikini mtu anaelipa mapato makubwa kupitia Kodi na Kusaidia huduma hata kwa watu wa chini..

Nahisi pia we mwenyewe umeshashiba chapati za unga wake. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…