Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Nimepokea sms ya AzamTv kuhusu kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 01/08/2023.
Mkeka ni kama ifuatavyo;
2A0D8CAC-6CF2-4357-9EA0-5A12DB1BA10E.jpeg
 
Kwema,

Vifurushi vya Azam vimepanda bei,kuanzia tar 1/8,kikichokua 23000 sasa ni 25000

Azamtv mnatuonaje hasa au ni kwasababu ya kuonesha ligi yenu au ni zile tamthilia zenu...

Wakuu naomben ushaur nahama azamtv ni kisimbuzi kipi kitanifaa au kote mwendo ni ule ule
 
Back
Top Bottom