Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Kwema,
Vifurushi vya Azam vimepanda bei,kuanzia tar 1/8,kikichokua 23000 sasa ni 25000

Azamtv mnatuonaje hasa au ni kwasababu ya kuonesha ligi yenu au ni zile tamthilia zenu...

Wakuu naomben ushaur nahama azamtv ni kisimbuzi kipi kitanifaa au kote mwendo ni ule ule
Mkuu...kama Gharama zimepanda ulitaka waingie hasara kufurahisha wateja?..

Je unajua sababu zinazopelekea kupanda kwa Gharama za Vifurushi??
 
Kwema,
Vifurushi vya Azam vimepanda bei,kuanzia tar 1/8,kikichokua 23000 sasa ni 25000

Azamtv mnatuonaje hasa au ni kwasababu ya kuonesha ligi yenu au ni zile tamthilia zenu...

Wakuu naomben ushaur nahama azamtv ni kisimbuzi kipi kitanifaa au kote mwendo ni ule ule

Mkuu ulisoma na kuelewa vigezo na masharti kabla kutumia huduma zao?
 
Zile sajili zao tu za mbwembwe, kina Fei na wengineo, nilijua huu ni mtego, kama ilivyo serikali na mzigo wa matozo kwa raia wake wanyonge huku wakishindwa kupunguza matumizi, na Azam hivyo hivyo, mzigo wa matumizi anaangushiwa mteja[emoji17][emoji17][emoji17]
 
Back
Top Bottom