Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Kwema,

Vifurushi vya Azam vimepanda bei,kuanzia tar 1/8,kikichokua 23000 sasa ni 25000

Azamtv mnatuonaje hasa au ni kwasababu ya kuonesha ligi yenu au ni zile tamthilia zenu...

Wakuu naomben ushaur nahama azamtv ni kisimbuzi kipi kitanifaa au kote mwendo ni ule ule
Baki hapo hapo mkuu utazoea tu

Nilikuwa nimepanga niwe nalipia ving'amuz viwili kimoja 23,000 na kingine 15,000 kwa ajili ya mke wangu,sasa hapa sitaweza tena ntabak kulipa hyo 25,000 tuendelee kugombania remote
 
Zile sajili zao tu za mbwembwe, kina Fei na wengineo, nilijua huu ni mtego, kama ilivyo serikali na mzigo wa matozo kwa raia wake wanyonge huku wakishindwa kupunguza matumizi, na Azam hivyo hivyo, mzigo wa matumizi anaangushiwa mteja[emoji17][emoji17][emoji17]
Mheshimiwa Azam Fc na Azam Media mbona ni kampuni mbili tofauti kabisa. 😁😁
 
Azam wajinga sana, michaneli yenyewe ya kiarabu ya free, poor quality! ukiondoa ligi kuu hakuna kitu cha maana!

Dstv pambaneni mnunue haki za matangazo ligi kuu turudi nyumban
Wabongo 🙌🙌 sasa kama tunalia na vifurushi vya Azam vya Dstv inawezekana , vya Dstv pia vimepanda au huna taarifa mkuu
 
Mpira ndio unawaingizia pesa sana ila walifanya kosa kuwapa mkataba was muda mrefu.
Au wangekubali mkataba wa muda mrefu kwa dollar na sio Tsh maana ndani ya mwaka huu Milioni 500 ni sawa na dollar 200,000/

Wakati mwaka jana ilikuwa Dollar 220,000

Hadi 2032 thamani ya mshindi itakuwa dollar 150,000

Ambapo ni pungufu ya dollar 60,000
 
Dstv wakiweza kuonesha ligi kuu basi azam, azam kisimbuzi kipo sababu ya NBC premiere league na si jingine
Hawawezi pewa tenda ya kuonesha, ndo maana ligi ikaingia mkataba wa muda mrefu
 
Back
Top Bottom