CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Ukiona wanakufuatilia juwa uko kwenye target yao.
Takataka hii, wapambane na hali zao, hakuna kibaraka watakae msimika nchi hiii, narudia hayupo!Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."
Limepitishwa nchini Marekani kusihi serikali ya Tanzania na wadau wote wanaohusika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 nchini Tanzania kufuata haki za binadamu, katiba ili kuhakikisha uchaguzi utakuwa wa huru na haki hapo mwezi Oktoba 2020. Tamko hilo limeonekana kukemea baadhi ya vitendo vya Serikali ya Tanzania tangu mwaka 2015 vyenye viashiria vya kuvunja haki za wananchi wa Tanzania.
Moja ya madai ya azimio hilo ni kwamba:
1. Serikali ya Tanzania imezuia ukusanyaji huru wa takwimu, utoaji wa takwimu
2. Serikali ama watendaji wa serikali wamekuwa wakitishia, kushambulia na kukamata wanahabari na kutokujali wanahabari waliopotea.
3. Serikali imezuia wanasiasa kufanya shughuli zao za kisiasa kuanzia mwaka 2016 mpaka 2019 kinyume na katiba ya nchi.
4. Serikali imedhibiti uhusiano wa taasisi zisizo za serikali NGO na taasisi nyingine zilizopo nje ya nchi kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa mnamo September 2019.
5. Viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipotea vitisho, kushambuliwa na serikali kushindwa kuwakamata watenda makosa.
View attachment 1573603
Soma zaidi:
Tanzania yaihakikishia Marekani uchaguzi utakuwa huru | DW | 09.09.2020
Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini
Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa
Kwani wametupa pesa ya kugharamia uchaguzi situmegharamia wenyewe kwa 100% wao waombe wasiombe sisi ni lazima magufuli awe rais kwisha habari yao walizoea wanatoa vipesa vya uchaguzi alafu na maelekezo mengi.Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."
Limepitishwa nchini Marekani kusihi serikali ya Tanzania na wadau wote wanaohusika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 nchini Tanzania kufuata haki za binadamu, katiba ili kuhakikisha uchaguzi utakuwa wa huru na haki hapo mwezi Oktoba 2020. Tamko hilo limeonekana kukemea baadhi ya vitendo vya Serikali ya Tanzania tangu mwaka 2015 vyenye viashiria vya kuvunja haki za wananchi wa Tanzania.
Moja ya madai ya azimio hilo ni kwamba:
1. Serikali ya Tanzania imezuia ukusanyaji huru wa takwimu, utoaji wa takwimu
2. Serikali ama watendaji wa serikali wamekuwa wakitishia, kushambulia na kukamata wanahabari na kutokujali wanahabari waliopotea.
3. Serikali imezuia wanasiasa kufanya shughuli zao za kisiasa kuanzia mwaka 2016 mpaka 2019 kinyume na katiba ya nchi.
4. Serikali imedhibiti uhusiano wa taasisi zisizo za serikali NGO na taasisi nyingine zilizopo nje ya nchi kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa mnamo September 2019.
5. Viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipotea vitisho, kushambuliwa na serikali kushindwa kuwakamata watenda makosa.
View attachment 1573603
Soma zaidi:
Tanzania yaihakikishia Marekani uchaguzi utakuwa huru | DW | 09.09.2020
Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini
Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa
It's not. About the size of a dog in the fight.. But the size of the fight in the dog.
Ukija kiboya na mawazo kama haya utaishia kupewa mrahaba wa asilimia 3 na mali ni yako.. na kupangiwa matumizi juu..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hivi kauli yake hii ya kishetani haitoshi kumpeleka the Hague kweli....?? 😒😒🤔🤔Magufuli aliwaambia wakurugenzi.
"Nimekupa kazi.
Ninakupa mshahara.
Nakupa posho.
Nakupa Nyumba
Nakupa Gari.
Bado unaenda kumtangaza mpinzani"
Uzuri wa Tanzania mvua ni nyingi wao hutegemea kutumia njaa kama silaha na sisi hatuna njaa zimbabwe na sisi ni vitu tofauti kabisa kule kuna njaa,hawana bahari ,hawana maziwa,hawana vitu ambavyo ni muhimu,sisi tunategemewa na nchi 07 kupitisha bidhaa zao,sisi tuna mazao mengi na hatutegemei chakul kutoka nje.Uchaguzi huu unawezi kutufanya tuwe kama Zimbabwe au tubakie kama Tanzania
Kwa hio kama tunapokea pesa zao, ndie watuingilie mambo yetu.
Mbona wao hawataki privacy za watu kama machoko zisiingiliwe!
Upumbavu utoke kwenu uende Kwa Nani tena mkuu, kawaambie na hao waume zenu kwamba, Mbeligiji hatafikisha hata Kura milioni mojaWanaona matendo yenu yalivyo ndio maana mnakemewa upumbavu uwatoke, la sivyo wawachukulie hatua nyingine sababu nyinyi ni kama kenge! Hamsikii mpaka damu iwatoke kwenye masikio.
Endelea kuwapa moyo vilaza wa lumumba! Yajayo yanafurahishaBunge la Amerika kukaa pamoja na kuweka azimio juu ya uchaguzi wa Tanzania ni habari ya kujivunia mkuu, inaonesha tuko ligi kubwa. Au wewe unachukulia vipi bunge la Amerika kuacha shughuli zake na kukaa kujadili na kuweka azimio juu ya uchaguzi wa Tanzania?..Eti unaonaje hiyo hali mkuu? levol ya nchi yako iko juu sana ama vipi?
Wanatamani wasimamie uchaguzi huu kumsaidia mchumba wao ashinde.Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Only a colonised mind will cheer for such things. Kwao wakisema na mwangwi ukasikika kutoka kwa watu weusi wa taifa hili..ni ushindi mkubwa sana.
Wanaendelea kujua kuwa kati ya hao mamilioni walioko Tanzania kuna mifugo yao. Huwezi kushangilia jirani kujipangia ujisimamieje.
Wewe umeshindwa kujisimamia!? Unaona umekanyagwa unaumia ..kwann usisimame useme naumia.. sitaki.!? Mpaka uanze kumwambia jirani akusemee!??
Pathetic.
Kabisa...... Kimsingi tunawakaribisha watusaidie kumuondoa beberu na kupe ccm aliyenyonya nchi kwa miaka 60 sasaUS wanamsemo wao kwamba "the only language dictactors can understand is strength and power"
Na wao kwa nini hawakuwapeleka the likes of Henry Kissinger huko the Hague!?Hivi kauli yake hii ya kishetani haitoshi kumpeleka the Hague kweli....?? [emoji19][emoji19][emoji848][emoji848]
Kuna mgombea nimeona video kazidisha muda kakataa kushuka jukwaani na eti linajigamba lipo tayari kwa lolote