Heri kukosa wote kuliko kuwatesa ndugu zako kwa kutumia mali ya urithi wa babu zetu.Kesho uje na mrejesho wa hali ya sasa ya huko Iraq, Afghanistan, Libya nk
Mwenzio akinyolewa!???? Wewe tia Maji.
Kalaghabao
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mku tatizo lianzia Lisu atakaona hatewa haki. Na inatemea ataongea nini kwani mpaka sasa hivi Lisu ndo mwenye majibu kumbuka pale anapoitolea Tume kauli kwenye makosa yanarekebishwa na hii ni baada ya kujua uwezo na ujasiri alionao.Hivi Kuna watu wanaamini kutakuwa na uchaguzi huru na haki? .. Kukatwa kwa wagombea WA ubunge Ni kielelezo Tosha kuwa wapinzani hawatatangazwa washindi...
It is the wearer who knows where the shoe pinches. Don't recklessly ignore the outcries of others. Ask them why and what they cry for.Only a colonised mind will cheer for such things. Kwao wakisema na mwangwi ukasikika kutoka kwa watu weusi wa taifa hili..ni ushindi mkubwa sana.
Wanaendelea kujua kuwa kati ya hao mamilioni walioko Tanzania kuna mifugo yao. Huwezi kushangilia jirani kujipangia ujisimamieje.
Wewe umeshindwa kujisimamia!? Unaona umekanyagwa unaumia ..kwann usisimame useme naumia.. sitaki.!? Mpaka uanze kumwambia jirani akusemee!??
Pathetic.
Kinyume gani wao wanataka uchaguzi uwe huru na wa haki.
Odinga alisema vifanga vya Computer sasa Lisu yy atasema ni niniKinyume gani wao wanataka uchaguzi uwe huru na wa haki.
Huu ushauri nitaufanyia kaziKwa kuwa wewe unajua Rais wako mpendwa hana uwezo wa kuwajibu Wamarekani hata kwa neno hilo moja, badala ya wewe kuwajibu Wamarekani humu jf kuuonyesha ujinga wako, kwa nini hujamshauri ajibu yeye kutumia neno hilohilo na uteuzi ukapata? Neno lingekuwa zito zaidi kutoka kwake kuliko kutoka kwa kilaza wa kijiweni.
Endelea kuwapa moyo vilaza wa lumumba! Yajayo yanafurahisha
Kwahiyo chadema wamepita bila kupingwaHuu utakua uchaguzi bora kuwahi kutokea
CHADEMA wanavunja sheria wazi wazi ili wakamatwe lakini polisi wamewachunia,
Mbona muna wafuata mukiwaomba misaadaWashike yao eti.
Ya huku hayawahusu.
Punda hendi hadi kwa magongoSi haki!
Watuache tujiendeshe wenyewe!
There is an outcry and there is noise. Ukienda kwa daktari unaugulia huku unalia tu na hujibu anachokuuliza utafia mezani kwake..It is the wearer who knows where the shoe pinches. Don't recklessly ignore the outcries of others. Ask them why and what they cry for.
Na kuwafitinisha ndugu zako na jirani ili jirani achukue mali yote ili mkose wote ndio suluhisho!?Heri kukosa wote kuliko kuwatesa ndugu zako kwa kutumia mali ya urithi wa babu zetu.
Kama wamesema jambo jema tusifurahie, hebu mataga jaribuni kutumia akili. Imagine mama yako akitekwa Marekani wakilaaani utapinga tu kwa kuwa ni wa marekani?Only a colonised mind will cheer for such things. Kwao wakisema na mwangwi ukasikika kutoka kwa watu weusi wa taifa hili..ni ushindi mkubwa sana.
Wanaendelea kujua kuwa kati ya hao mamilioni walioko Tanzania kuna mifugo yao. Huwezi kushangilia jirani kujipangia ujisimamieje.
Wewe umeshindwa kujisimamia!? Unaona umekanyagwa unaumia ..kwann usisimame useme naumia.. sitaki.!? Mpaka uanze kumwambia jirani akusemee!??
Pathetic.
Safi sana US tuko pamoja sisi tunaenda kumuondoa dikteta kazi yenu ni kutusaidia km kutakua na uibaji wa kura na kutangazwa walioshindwa
Wanaona matendo yenu yalivyo ndio maana mnakemewa upumbavu uwatoke, la sivyo wawachukulie hatua nyingine sababu nyinyi ni kama kenge! Hamsikii mpaka damu iwatoke kwenye masikio.
Only a colonised mind will cheer for such things. Kwao wakisema na mwangwi ukasikika kutoka kwa watu weusi wa taifa hili..ni ushindi mkubwa sana.
Wanaendelea kujua kuwa kati ya hao mamilioni walioko Tanzania kuna mifugo yao. Huwezi kushangilia jirani kujipangia ujisimamieje.
Wewe umeshindwa kujisimamia!? Unaona umekanyagwa unaumia ..kwann usisimame useme naumia.. sitaki.!? Mpaka uanze kumwambia jirani akusemee!??
Pathetic.
Haalafu kwani uchaguzi wa Marekani ni huru na haki waje kutufundisha jinsi ya kuendesha uchaguzi wetu? Angalia wanavyofanya iwe ngumu kwa watu wasiokuwa weupe kupiga kura, halafu eti nao waje waimbie Tanzania jinsi ya kuendesha uchaguzi wao!!!!!Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?