Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Hivi Kuna watu wanaamini kutakuwa na uchaguzi huru na haki? .. Kukatwa kwa wagombea WA ubunge Ni kielelezo Tosha kuwa wapinzani hawatatangazwa washindi...
Mku tatizo lianzia Lisu atakaona hatewa haki. Na inatemea ataongea nini kwani mpaka sasa hivi Lisu ndo mwenye majibu kumbuka pale anapoitolea Tume kauli kwenye makosa yanarekebishwa na hii ni baada ya kujua uwezo na ujasiri alionao.
 
Only a colonised mind will cheer for such things. Kwao wakisema na mwangwi ukasikika kutoka kwa watu weusi wa taifa hili..ni ushindi mkubwa sana.

Wanaendelea kujua kuwa kati ya hao mamilioni walioko Tanzania kuna mifugo yao. Huwezi kushangilia jirani kujipangia ujisimamieje.

Wewe umeshindwa kujisimamia!? Unaona umekanyagwa unaumia ..kwann usisimame useme naumia.. sitaki.!? Mpaka uanze kumwambia jirani akusemee!??

Pathetic.
It is the wearer who knows where the shoe pinches. Don't recklessly ignore the outcries of others. Ask them why and what they cry for.
 
Kwa kuwa wewe unajua Rais wako mpendwa hana uwezo wa kuwajibu Wamarekani hata kwa neno hilo moja, badala ya wewe kuwajibu Wamarekani humu jf kuuonyesha ujinga wako, kwa nini hujamshauri ajibu yeye kutumia neno hilohilo na uteuzi ukapata? Neno lingekuwa zito zaidi kutoka kwake kuliko kutoka kwa kilaza wa kijiweni.
Huu ushauri nitaufanyia kazi
 
Endelea kuwapa moyo vilaza wa lumumba! Yajayo yanafurahisha

Sasa weee unadhani bunge la Amerika kukaa na kuweka azimio la pamoja kwa kujadili uchaguzi wa Tanzania ni jambo dogo? Lini tenaumewahi kusikia hivyo? Nchi gani nyingine hapa Afrika uchaguzi wake ulijadiliwa na bunge la Amerika na kuwekewa maazimio? Lazima tukubali level ya Tanzania kwa sasa ni ligi moja na kina Urusi, China, NKPR et al
 
It is the wearer who knows where the shoe pinches. Don't recklessly ignore the outcries of others. Ask them why and what they cry for.
There is an outcry and there is noise. Ukienda kwa daktari unaugulia huku unalia tu na hujibu anachokuuliza utafia mezani kwake..

Nazoziona hapa mtandaoni ni kelele.. sijaona watu wakikaa chini kuanalyze shida zao kuujua mzizi na kutoa mbadala au suluhisho.

Nchi inajengwa na watu wote na kama tunakubaliana na hilo sidhani wazo zuri lina umiliki.. tatizo ni kudhani kitu kizuri lazima kifanywe na chama A au B.

Tuache makelele, tutoe vilio vyetu .. hata ukipiga kelele miaka 350 barabara za kijijini , shule, zahanati, ajira haviletwi na kelele ...

Aliyetudanganya kuwa tukipiga kelele tukasikilizwa tunatibu matatizo yetu ...alituroga pabaya. Tena pabaya sana

Yaani unaumia wewe unataka anayekukanyaga ndio akuulize nimekukanyaga!? Are you being real!? Hiyo ni nidhamu ya woga.. mbaya sana!

This country need work,not words.

Kuna Mwl. Shuleni kwenye somo la misingi ya utafiti/tafiti, alikuwa akipinga maswali kama "je mna maji ya kutosha!?" Maana yuko mtu tangu azaliwe maji mengi kayaona kwenye ndoo... Na hajafa amekua na ana watoto... Huyu anapata maji ya kutosha.

Unaweza ukawa unalilia maji ya kwenye ndoo... Ni jukumu la wabeba maono kujua maji kwenye ndoo hayakutoshi na unahitaji bomba .. unahitaji miundombinu wezeshi, unahitaji umeme, barabara, viwanda, hospitali nk

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uchaguzi mkuu wetu unamuhusu kivipi huyu Mmarekani? Mbona unamuwashawasha? Mbona sisi uchaguzi mkuu wa Wamerika huwa hautuwashi? Jee ana mirija yake humu nchini kwetu?
 
Only a colonised mind will cheer for such things. Kwao wakisema na mwangwi ukasikika kutoka kwa watu weusi wa taifa hili..ni ushindi mkubwa sana.

Wanaendelea kujua kuwa kati ya hao mamilioni walioko Tanzania kuna mifugo yao. Huwezi kushangilia jirani kujipangia ujisimamieje.

Wewe umeshindwa kujisimamia!? Unaona umekanyagwa unaumia ..kwann usisimame useme naumia.. sitaki.!? Mpaka uanze kumwambia jirani akusemee!??

Pathetic.
Kama wamesema jambo jema tusifurahie, hebu mataga jaribuni kutumia akili. Imagine mama yako akitekwa Marekani wakilaaani utapinga tu kwa kuwa ni wa marekani?
 
kabisa
Only a colonised mind will cheer for such things. Kwao wakisema na mwangwi ukasikika kutoka kwa watu weusi wa taifa hili..ni ushindi mkubwa sana.

Wanaendelea kujua kuwa kati ya hao mamilioni walioko Tanzania kuna mifugo yao. Huwezi kushangilia jirani kujipangia ujisimamieje.

Wewe umeshindwa kujisimamia!? Unaona umekanyagwa unaumia ..kwann usisimame useme naumia.. sitaki.!? Mpaka uanze kumwambia jirani akusemee!??

Pathetic.
 
Hivi Tanzania inaweza andika bill kama hiyo kuhusu swala la uchaguzi wa Marekani? Kwanini wanataka ingilia mambo ya ndani ya Tanzania na Watanzania wanashangilia. Untill when mtaacha nchi za nje ziwaamulie mambo yenu ya ndani. Amkeni
 
Mimi kama mtanzania naunga mkono hoja, ikiwezekana baada ya uchaguzi viongozi wa tume wawekewe vikwazo..
 
Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Haalafu kwani uchaguzi wa Marekani ni huru na haki waje kutufundisha jinsi ya kuendesha uchaguzi wetu? Angalia wanavyofanya iwe ngumu kwa watu wasiokuwa weupe kupiga kura, halafu eti nao waje waimbie Tanzania jinsi ya kuendesha uchaguzi wao!!!!!
 
Back
Top Bottom