It is the wearer who knows where the shoe pinches. Don't recklessly ignore the outcries of others. Ask them why and what they cry for.
There is an outcry and there is noise. Ukienda kwa daktari unaugulia huku unalia tu na hujibu anachokuuliza utafia mezani kwake..
Nazoziona hapa mtandaoni ni kelele.. sijaona watu wakikaa chini kuanalyze shida zao kuujua mzizi na kutoa mbadala au suluhisho.
Nchi inajengwa na watu wote na kama tunakubaliana na hilo sidhani wazo zuri lina umiliki.. tatizo ni kudhani kitu kizuri lazima kifanywe na chama A au B.
Tuache makelele, tutoe vilio vyetu .. hata ukipiga kelele miaka 350 barabara za kijijini , shule, zahanati, ajira haviletwi na kelele ...
Aliyetudanganya kuwa tukipiga kelele tukasikilizwa tunatibu matatizo yetu ...alituroga pabaya. Tena pabaya sana
Yaani unaumia wewe unataka anayekukanyaga ndio akuulize nimekukanyaga!? Are you being real!? Hiyo ni nidhamu ya woga.. mbaya sana!
This country need work,not words.
Kuna Mwl. Shuleni kwenye somo la misingi ya utafiti/tafiti, alikuwa akipinga maswali kama "je mna maji ya kutosha!?" Maana yuko mtu tangu azaliwe maji mengi kayaona kwenye ndoo... Na hajafa amekua na ana watoto... Huyu anapata maji ya kutosha.
Unaweza ukawa unalilia maji ya kwenye ndoo... Ni jukumu la wabeba maono kujua maji kwenye ndoo hayakutoshi na unahitaji bomba .. unahitaji miundombinu wezeshi, unahitaji umeme, barabara, viwanda, hospitali nk
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app