Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Vijana wengi wadogo wanamichezo na wasanii wakioa mashangazi huwa ndoa zinavunjika baada ya kustaafu fani zao, kijana atakuja kujutia sana haya maamuzi, PASU KWA PASU , Watu wapo MAWINDONI

Siku hizi NBA katika kila wachezaji 10 ndoa nane zinavunjika, kilichofuatwa ni pesa na umaarufu wa kuwa mke wa fulani kipindi yupo peak

Ngolo Kante na yeye kaoa Shangazi atakuja kulia
 
Wewe waache..
Emanuel Eboue anawa zoom tu.
 
Aziz K ni simp,Aziz Ki namfananisha na mume wa Irine Uwoya,yule alikua mchezaji wa Burundi,Hamadi Ndikumana,.................dalili zote zinaonesha kinaenda kutokea kile kile.
Ameshindwa kuwaiga Alpha male kama wakina Sadio mane,christiano Ronaldo,wakina Hakim
Ok ameshindwa kuwaiga wenzake waliopita kwenye huo mtumbwi wakavuka wakaendelea na mambo mengine...........Simtabilii mabaya lakini kama ni kweli,anaenda kuliweka ndani jamvi la wageni,..........Muda utaenda kumuhukumu
 
Aache kupaka putty na kuvaa mawigi ndio tuone huo uzuri. Halafu mwanaume wewe unaoa kwa sababu ya pesa tena alizohongwa na wanaume wenzio.
Anaeoa ni aziz, na anamuoa Mtanzania mwenzetu, tuwape baraka tu, ni jambo jema kwasababu katuheshimisha, vip kama angekuwa ndugu yako, ungeongea hayo..!?
Ndo maana kuna watu wengine huwa wanasema watanzania hatupendani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…