Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Tatizo ni kwamba mtu mweupe anaaminiwa kuliko mtu mweusi hiki ndo kitu mzungu alifanikiwa kukipanda na amefanikiwaHalafu watu wanajifariji ati ni kesi ya madai.
Huko ni kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu ni Jinai Pro Max binafsi kidogo tu nimfunge Fundi Aluminium aliyeniletea uhuni unaofanana na huu.
Tatizo ni kwamba mtu mweupe anaaminiwa kuliko mtu mweusi hiki ndo kitu mzungu alifanikiwa kukipanda na amefanikiwaMkuu acha story za vijiweni jamaa katoa hadi bill of lading feki huyo ni mwizi jamaa wamefuatilia hadi china hajaagiza chochote arudishe pesa hakuna namna
Waende mahakaman wakatafsiri huo mkataba walioingiaBinadamu hawaaminiki, ndio maana ikawekwa mikataba; na mikataba ina taratibu zake za kuivunja.
Anayedai pesa ndio anatakiwa aende mahakamani, ili aweze kulipwa; hii kutumia nguvu inatafsiri vitu tofauti sana.Waende mahakaman wakatafsiri huo mkataba walioingia
Sababu kila mtu anavutia kwake
Hakuna watu wanaotakatisha fedha kama wahindi hapa Tanzania
Ni basi tu watu wanawaamini ngozi nyeupe kuliko nyeusi
Ukiwasikiliza wote wawili utaona mmoja anadai na mwingine anadaiwa sasa kwanini asilipe deni la watu mambo yaishe ?Tatizo ni kwamba mtu mweupe anaaminiwa kuliko mtu mweusi hiki ndo kitu mzungu alifanikiwa kukipanda na amefanikiwa
Hata huku ni rahisi sana kumwamini mhindi mweupe kuliko mtanzania mweusi
Kama unamkataba na unahakika mtu ameuvunja nenda mahakamanAnayedai pesa ndio anatakiwa aende mahakamani, ili aweze kulipwa; hii kutumia nguvu inatafsiri vitu tofauti sana.
Deni halilipwi kirahisi sababu kila mtu anavutia kwakeUkiwasikiliza wote wawili utaona mmoja anadai na mwingine anadaiwa sasa kwanini asilipe deni la watu mambo yaishe ?
Naamini aliyeanza kufungua kesi, ndio anayeonewa.Kama unamkataba na unahakika mtu ameuvunja nenda mahakaman
Kuanza kutumia vitisho kuna walakini
Hata anavyoongea unaona kabisa amepangwa
Mimi simtetei mtanzania ila wahindi ni janja janja sana
mimi nimemwelewa pia...noma sanaUlimsikiliza vizuri bilionea? Hao jamaa ndani ya week wameghairi kukamilisha malipo na kumtaka jamaa bilionea arudishe fedha wakati yeye kashayaagiza....Kuna watu wana wenge sana wakishika hela yaani ni kubadilikabadilika kama vinyonga...Dawa yao kwenye mkataba ni kuwaandikia kwamba wakighairi fedha hairudishwi.
Kwanza anatoa maelezo kwa hofu, wasiwasi,kigugumizi kwa wingi hata macho yake yanaeleza kuna uwongo mwingi umetumika.
Asante kwa kuliona hilo.Ila kimsingi body language yake inakataa maelezo yake
hiki ndo akikiongekea jana huyo bilioneaWanaomtulana bilionea wengi hawajui biashara, kuna mteja anachagua BMW anakupa milioni 50, we unaagiza gari unalipia, anakutana na mtu anamwambia hiyo hela unbechuluan VW iko vizuri kuliko BMW, anakupigiabanakwambia nachukua VE achana na BMW kama vile alizikuta Yard wakati anajua za kuagiza. Pengine unakuta ulipolipia hiyo gari hawana wanakwambia wakate % kama ilivyo lwenye T&Cs zao, mteja anataka hela yakr isipungue hapo ndio unaanza kuitwa tapeli.
Mwafrika yeye mwenyewe hajikubali kwa hiyo sikushangaiMuda mwengine wabongo ni washenzi kuliko hata hao wahindi
Kwa wanaonjuwa shami .mhh 😄Huyo Kanjibai kapangwa na J4 Muliro.
😄Kama katoa Bill of Lading feki basi huyu bilionea shami ni tapeli
Huyo dalali tapeli...hapo mlimani kuna watu wamelizwa sana na madalali wenye ofisi,kuna wawili nawajua wanatafutwa wamekimbia na pesa za wateja zaidi ya 300mWanaomtulana bilionea wengi hawajui biashara, kuna mteja anachagua BMW anakupa milioni 50, we unaagiza gari unalipia, anakutana na mtu anamwambia hiyo hela unbechuluan VW iko vizuri kuliko BMW, anakupigiabanakwambia nachukua VE achana na BMW kama vile alizikuta Yard wakati anajua za kuagiza. Pengine unakuta ulipolipia hiyo gari hawana wanakwambia wakate % kama ilivyo lwenye T&Cs zao, mteja anataka hela yakr isipungue hapo ndio unaanza kuitwa tapeli.