Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Tatizo ni kwamba mtu mweupe anaaminiwa kuliko mtu mweusi hiki ndo kitu mzungu alifanikiwa kukipanda na amefanikiwaHalafu watu wanajifariji ati ni kesi ya madai.
Huko ni kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu ni Jinai Pro Max binafsi kidogo tu nimfunge Fundi Aluminium aliyeniletea uhuni unaofanana na huu.
Hata huku ni rahisi sana kumwamini mhindi mweupe kuliko mtanzania mweusi