Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Halafu watu wanajifariji ati ni kesi ya madai.

Huko ni kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu ni Jinai Pro Max binafsi kidogo tu nimfunge Fundi Aluminium aliyeniletea uhuni unaofanana na huu.
Tatizo ni kwamba mtu mweupe anaaminiwa kuliko mtu mweusi hiki ndo kitu mzungu alifanikiwa kukipanda na amefanikiwa

Hata huku ni rahisi sana kumwamini mhindi mweupe kuliko mtanzania mweusi
 
Mkuu acha story za vijiweni jamaa katoa hadi bill of lading feki huyo ni mwizi jamaa wamefuatilia hadi china hajaagiza chochote arudishe pesa hakuna namna
Tatizo ni kwamba mtu mweupe anaaminiwa kuliko mtu mweusi hiki ndo kitu mzungu alifanikiwa kukipanda na amefanikiwa

Hata huku ni rahisi sana kumwamini mhindi mweupe kuliko mtanzania mweusi
 
Binadamu hawaaminiki, ndio maana ikawekwa mikataba; na mikataba ina taratibu zake za kuivunja.
 
Binadamu hawaaminiki, ndio maana ikawekwa mikataba; na mikataba ina taratibu zake za kuivunja.
Waende mahakaman wakatafsiri huo mkataba walioingia
Sababu kila mtu anavutia kwake

Hakuna watu wanaongoza kutakatisha fedha kama wahindi hapa Tanzania ni wahuni kupita maelezo
Ni basi tu watu wanawaamini ngozi nyeupe kuliko nyeusi
 
Waende mahakaman wakatafsiri huo mkataba walioingia
Sababu kila mtu anavutia kwake

Hakuna watu wanaotakatisha fedha kama wahindi hapa Tanzania
Ni basi tu watu wanawaamini ngozi nyeupe kuliko nyeusi
Anayedai pesa ndio anatakiwa aende mahakamani, ili aweze kulipwa; hii kutumia nguvu inatafsiri vitu tofauti sana.
 
Anayedai pesa ndio anatakiwa aende mahakamani, ili aweze kulipwa; hii kutumia nguvu inatafsiri vitu tofauti sana.
Kama unamkataba na unahakika mtu ameuvunja nenda mahakaman
Kuanza kutumia vitisho kuna walakini
Hata anavyoongea unaona kabisa amepangwa

Mimi simtetei mtanzania ila wahindi ni janja janja sana
 
Ulimsikiliza vizuri bilionea? Hao jamaa ndani ya week wameghairi kukamilisha malipo na kumtaka jamaa bilionea arudishe fedha wakati yeye kashayaagiza....Kuna watu wana wenge sana wakishika hela yaani ni kubadilikabadilika kama vinyonga...Dawa yao kwenye mkataba ni kuwaandikia kwamba wakighairi fedha hairudishwi.
mimi nimemwelewa pia...noma sana
 
Wanaomtulana bilionea wengi hawajui biashara, kuna mteja anachagua BMW anakupa milioni 50, we unaagiza gari unalipia, anakutana na mtu anamwambia hiyo hela unbechuluan VW iko vizuri kuliko BMW, anakupigiabanakwambia nachukua VE achana na BMW kama vile alizikuta Yard wakati anajua za kuagiza. Pengine unakuta ulipolipia hiyo gari hawana wanakwambia wakate % kama ilivyo lwenye T&Cs zao, mteja anataka hela yakr isipungue hapo ndio unaanza kuitwa tapeli.
hiki ndo akikiongekea jana huyo bilionea
 
WaTz Janja janja is our deile glass of togwa. Ni kweli hawa vijana wakikanjibai wamepigwa, lakini ni kwasababu waliruhusu loopholes bila kuziziba. Aliyewapiga kuna kitu anakijua vizuri.......

BTW, hawa makanji wana Connections/mitandao yao ya kibiashara, wana mitandao yao ya importation ninini walienda kufuata kwa mmatumbi? Sichochei ubaguzi ila kuna tatizo sehemu.
 
Wanaomtulana bilionea wengi hawajui biashara, kuna mteja anachagua BMW anakupa milioni 50, we unaagiza gari unalipia, anakutana na mtu anamwambia hiyo hela unbechuluan VW iko vizuri kuliko BMW, anakupigiabanakwambia nachukua VE achana na BMW kama vile alizikuta Yard wakati anajua za kuagiza. Pengine unakuta ulipolipia hiyo gari hawana wanakwambia wakate % kama ilivyo lwenye T&Cs zao, mteja anataka hela yakr isipungue hapo ndio unaanza kuitwa tapeli.
Huyo dalali tapeli...hapo mlimani kuna watu wamelizwa sana na madalali wenye ofisi,kuna wawili nawajua wanatafutwa wamekimbia na pesa za wateja zaidi ya 300m
 
Back
Top Bottom