Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

 

Attachments

  • Screenshot_20250216-182754_1.jpg
    363.2 KB · Views: 1
  • images (2) (1).jpeg
    44.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_2025-02-12-15-29-22-1.png
    649 KB · Views: 1
At least umejitambua!
Ndiyo hivyo mkuu, mm huwa nikichokozwa lazima nijilinde kwa nguvu zangu zote sina utani nikifanyiwa ujinga. Utakavyo kuja ndiyo utakavyopimiwa kiasi chako na majibu lazima yawe ni mabaya sn kwa upande wako.
 
Ndiyo hivyo mkuu, mm huwa nikichokozwa lazima nijilinde kwa nguvu zangu zote sina utani nikifanyiwa ujinga. Utakavyo kuja ndiyo utakavyopimiwa kiasi chako na majibu lazima yawe ni mabaya sn kwa upande wako.
Sasa hapo unadhani umetumia akili? Au umejilindaje kwa mfano? Umejisadia kujifariji inaitwa kujilisha upepo!
 
Huijui Tanzania vizuri
Huwajui Watanzania vizuri
Huijui historia vizuri.
Hata kama nusu ya wanajeshi wote wakatimuliwa ndani ya siku moja hakuna mwanajeshi ataweza kuanzisha vurugu na akashinda.
Kwa miaka karibu 20 mfululizo maelfu ya vijana walihitimu mafunzo ya JKT na mgambo wanarundikana mtaani na hakuna wa kufanya fyoko.
Ninaweza nikakupa accurate statistics ya vijana waliojiunga JKT kwa miaka kadhaa kwa kukueleza walioajiriwa ajira za serikali na wale waliopo mtaani ambao wanapambania ajira rasmi na zisizo rasmi.
 
Naona kabisa hii ni trend tu ya mtandaoni. Ngoja tuone.
Kama ni mtandaoni wasinge wakamata katibu na mwenyekiti na wala waziri asingeitisha mkutano nao.

Imagine hii ni miaka kumi tu ni toka 2015-2025 sasa fikiri ikiongezeka kumi mingine
 
Kabisa mkuu hii kitu tuitilie mkazo kwa sababu wengi wanaona ni utani tu.
 
kaka Nita andika baadae, hao wasomi wana elekea kuwa wapuuzi na sio problem solvers.

Huwezi panga kitu bila maono, uta ishia kupata publicity tu isiyo na msaada.
Upuuzi unategemeana na uwezo wa kichwa chako kufikiri isije ikawa wewe ndie mpuuzi
 
Unaleta utani katika vitu serious wenda ni utoto unakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…