Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

Unaweza kufika mwisho wa uvumilivu ukajikuta unajidhuru mwenyewe au unadhuru njia njema maishani mwako

Tatizo la ukosefu wa AJIRA kwa Vijana ni kubwa sana, zinahitajika nguvu za pamoja Kati ya Serikali na Wananchi wote ili kukabiliana na tatizo hili.

Kwenye hiyo comment yangu hapo nwishoni nimejaribu kueleza Nini kifanyike ili kutatua tatizo hili
 
Baada ya kuona vuguvugu la maandamano deep state hawashindwi kuanzisha kakikundi kao ili kuzima harakati zenu za kweli 😃😃😃😃, mnaandamana ili muitoe ccm madarakani.?
 
Nchi inaanza kuchangamka, napendekeza umoja wa watanzania mwenye maisha duni na mlo mmoja ,usajiliwe mapema sana
 
Mbona jkt wote walisharudishwa baada ya kusamehewa na mkuu wa majeshi mstaafu.Tena walirudishwa baada ya kuchunguzwa mpaka familia zao na shughuli gani walikuwa wanafanya bila wao kufahamu.
 
Unaweza ukazani kuwa mwenzako ajaandika hoja za msingi ikajikutavkumbe wewe ndiyo huna hoja kabisa, kikubwa ni kusamini kila hoja na kujaribu kuiboresha kama inamapungufu hapa na pale.
 
Haiwezekani vijana maelfu hawana ajira lakini serikali inatumia mabilioni kununua mashangingi ya anasa ya kuendea kwenye starehe
 
Ni hatari pia kwa watu waliojifunza matumizi ya silaha kukaa mitaani. Siku kikinuka ndio vitu kama m23 vinatokea kwetu. Serikali tafakarini.
 
Badala ya kuwasikiliza wanaolalamiki wakingali wachache wao wanawakamata! Wakiongezeka hamtawaweza kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…