Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

Wahindu wenzake wanampa sifa asizostahili chini ya utawala wake Waislam na Wasikh wamebaguliwa sana
Tusichokifahamu ni kuwa hata wahindu wenzake wanamsema na kumlaani,ikiwemo mtoto wa mwanasiasa nguli aliyechangia uhuru wa India Mahatma Gandhi.
Wanasema hili la kufadhili gang violence against Muslims na vyama pinzani linaleta mpasuko India.
Na bahati mbaya waislam India ni miongoni mwa watu walioshikilia sekta binafsi nyingi,hili limesababisha kuwe na matabaka kiuchumi kati ya wasio nacho na walio nacho.
India ukiiona kwa nje inapendeza ila imeoza kwa ndani.
 
Nacholenda kuhusu China yeye anataka tu mfanye naye biashara, ila mambo yenu ya ndani hayamuhusu anaheshimu sana uhuru wa nchi ambazo ni trade partners wake.

Nchi za Magharibi wao wanaingilia sana internal affairs hawaheshimu kabisa sovereignty ndio maana kwa nchi nyingi wanaiona China kama mbadala wa nchi za West
Kabisa 📌
 
Tusichokifahamu ni kuwa hata wahindu wenzake wanamsema na kumlaani,ikiwemo mtoto wa mwanasiasa nguli aliyechangia uhuru wa India Mahatma Gandhi.
Wanasema hili la kufadhili gang violence against Muslims na vyama pinzani linaleta mpasuko India.
Na bahati mbaya waislam India ni miongoni mwa watu walioshikilia sekta binafsi nyingi,hili limesababisha kuwe na matabaka kiuchumi kati ya wasio nacho na walio nacho.
India ukiiona kwa nje inapendeza ila imeoza kwa ndani.
Ndio maana wachambuzi wengi wanasema India ikitaka ifikie kevel za maendeleo makubwa kama China wanatakiwa kwanza watatue matatizo yaliyo katika jamii yao
 
Xi ni raisi mmoja smart ila yuko underrated, chini ya utawala wake ameifanya China iwe na influence kubwa sana duniani na kuwa self dependence kwenye tech
Kwa mtazamo wangu tangu comrade Deng Xiaoping aifanye China kuwa modern, Xi Jinping ndiye anayefata tena katika kipindi kigumu cha trade war. CPC wako sahihi sana kumpa uraisi wa kudumu
 
China anambana USA kwenye uchumi huku Urusi akimbana USA kwenye jeshi, alafu mwisho marekani akija mzimamzima wanamshughulikia pande zote kwa pamoja
Kissinger alipokuwa waziri wa mambo ya nje Marekani aliwahi kusema, kitu kimoja ambacho nchi za Magharibi lazima wazuie ni ukaribu kati ya Russia na China, walishachelewa

Ila ni vizuri ukaribu wa haya mataifa 2 yamechangia sana global stability kama alivyowahi kusema Wang Yi waziri wa mambo wa nje wa China
 
Mafahari wawili wakitwangana anayenufaika ni Peru
Sema Marekani kazingua yaani mwenzake ajenge smart port halafu yeye train ya diesel toleo la miaka hiyo ya zamani. Mmarekani kaona na yeye atleast asionekane hajafanya kitu.

Ndio maana raisi wa Peru kaenda kwenye uzinduzi wa bandari na raisi wa China kamwacha mayor wa jiji la Lima akakutane na Blinken na mtreni yake ya 1980
 
Kwa mtazamo wangu tangu comrade Deng Xiaoping aifanye China kuwa modern, Xi Jinping ndiye anayefata tena katika kipindi kigumu cha trade war. CPC wako sahihi sana kumpa uraisi wa kudumu
Hili nakubaliana nawe kipindi chs kina Jiang Zemin na Hu Jintao hawakupitia misukosuko kama ya Xi Jinping, ila hatukatai nao walifanya sehemu yao kubwa kwenye kuukuza uchumi wa China
 
Kissinger alipokuwa waziri wa mambo ya nje Marekani aliwahi kusema, kitu kimoja ambacho nchi za Magharibi lazima wazuie ni ukaribu kati ya Russia na China, walishachelewa
Huyu mzee nilokuwa namkubali sana yeye alikuwa msema kweli. Dunia nzima itaukumbjka ule msemo wake

“It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal."
 
Ambazo sio criteria za kukuza uchumi
Ila ukiwakuta kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu huyo Modi

Wahindi ni watu fulani wako proud sana hata kwa mambo ambayo bado hawajayafikia

Huwa nashangaa sana wanapojilinganisha na China. Hawataki kukubaliana na ukweli kuwa China imewaacha kwa mbali sana

China are at least a 100 years ahead of India in every metric related to development
 
China anaenda vizuri ila nahisi china itasinyaa kabla ya kushika hatam
Sidhani mkuu maana anashika kila mahali na kila anapowekewa vikwazo anatoboa. Waliizuia ASML Holdings wasiuze mitambo ya kuzalisha chips kwa china, sasa kuna taarifa kwamba china naye amefanikiwa kuweza kutoboa na soon ataanza kuzalisha mitambo yake ya kutengeneza 3nm chips. Kumbuka ASML ndio ilikuwa kampuni pekee duniani inayozalisha hizo zana zinazotumia photolithography kuunda chips.
 
Mchina anajua ukitaka ushindane na Marekani lazima uwe na ushawishi kwa mataifa mengine ndio maana anacheza sana na BRI

Xi ni raisi mmoja smart ila yuko underrated, chini ya utawala wake ameifanya China iwe na influence kubwa sana duniani na kuwa self dependence kwenye tech

Huwa nashindwa kuelewa wanaosema Putin, Trump na Narendra Modi ni viongozi smart ila Xi ni smarter than them all

Kwa sasa ndiye anayeongoza taifa lenye mafanikio makubwa zaidi duniani
Mimi naona kwa jicho la tatu ili China ifanikiwe ulaya kunatakiwa ulaya nzima ivurugana na kuvurugana ni kupitia vita ya ukrain na Russia. Hii vita imeifanya chumi za nchi kazaa kuanguka kama ujerumani. Kuanguka kwa uchumia wa uheruma na uchumi wa ulaya hauwezi kuwa sawa ..trump akija lazima wavurugane zaid hasa kwenye nato .kuvurugana kwa ulaya ndo ahuen ya dunia kuondokana na mifumo ya kinyonyaji ya nagharibi
 
Kitu ambacho hamjui China na Urusi wamepeana majukumu ya kuidhoofisha marekani na washirika wake...

China anambana USA kwenye uchumi huku Urusi akimbana USA kwenye jeshi, alafu mwisho marekani akija mzimamzima wanamshughulikia pande zote kwa pamoja.

Haya mambo yanaenda taratibu kwa mahesabu makali ili sisi watu wa dunia ya tatu na ya pili tusifurukute sababu sisi ndio wategezi wa mwisho kuchangia rasilimali
Hilo ndo jibu .hasante kwa kuwa greater think .ulaya soon wataanza kupoteana ujerumani uchumi wake upo .hoi .itafika mahali kila mtu atapambana na hali yake .kusambaratika kwa ulaya ndo kudhofika kwa usa
 
Back
Top Bottom