Tusichokifahamu ni kuwa hata wahindu wenzake wanamsema na kumlaani,ikiwemo mtoto wa mwanasiasa nguli aliyechangia uhuru wa India Mahatma Gandhi.Wahindu wenzake wanampa sifa asizostahili chini ya utawala wake Waislam na Wasikh wamebaguliwa sana
Wanasema hili la kufadhili gang violence against Muslims na vyama pinzani linaleta mpasuko India.
Na bahati mbaya waislam India ni miongoni mwa watu walioshikilia sekta binafsi nyingi,hili limesababisha kuwe na matabaka kiuchumi kati ya wasio nacho na walio nacho.
India ukiiona kwa nje inapendeza ila imeoza kwa ndani.