China bado mdogo sana kwa USA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China bado mdogo sana kwa USA
Hilo ndo jibu .hasante kwa kuwa greater think .ulaya soon wataanza kupoteana ujerumani uchumi wake upo .hoi .itafika mahali kila mtu atapambana na hali yake .kusambaratika kwa ulaya ndo kudhofika kwa usa
Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru
Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo.
View attachment 3155941
Robotic megaport that operates itself
Chancay port itapunguza angalau siku 10 kutoka kwa safari ambayo hapo awali ilikuwa ya siku 35 kutoka China mpaka Peru (Latin America) na kupunguza logistic cost kwa 20% route hii mpya imepewa jina la "China Latin America Freight Route."
Meli hazitahitaji tena kusimama kwenye bandari ya Long Beach California, Marekani na kisha ziende Latin America .
View attachment 3155946
"China Latin America Freight Route."
Katika kufungua hii bandari ina maana
Marekani will lose a lot of business na mataifa ya Latin America
Na pia China itazidi kuongeza ushawishi barani humo pamoja na kujipatia natural resources.Ndiyo maana Marekani ilifanya juu chini kuzuia mradi huu lakini ikafeli.
Marekani baada ya kuona hilo kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje, Antony Blinken nao wakaahidi kuipa Peru treni la diesel la miaka ya 1980s
View: https://twitter.com/SecBlinken/status/1857974121004450227?t=pp49UG4N5WjK5G1NIJjaaQ&s=19
Ushawishi upande wa biashara kati ya China na Marekani barani Latin America
Kufikia mwaka 2000 Marekani ilikuwa trade partner mkubwa wa Latin America yote. Finally the tables have turned, ripoti ya IMF ya imeonyesha China ni trade partner mkubwa wa nchi zote za Latin America ukitoa Mexico ambayo nayo imejaa uwekezaji wa makampuni ya China yanayouza bidhaa Marekani.
China imewekeza zaidi ya $100 bln kwenye infrastructure under BRI projects LatAm
Ford walifungua kiwanda Brazil kimefirisika, BYD wamekirekebisha na kufunga mitambo mipya, mwezi Desemba mwaka huu wanaanza production ya EV
Kwa sasa kila kiongozi wa Latin America hata raisi wa Argentina anti-communist, Mr Milei looks to China to build a better future.
Siku hizi Walatino wanakwambia
"Wanna build a world-class automated seaport with 5G, AI, autonomous vehicles, and robots? Call China. Wanna have EV factories? Call China."
Baada ya Walatino kuteseka sana under the USA’s Monroe Doctrine kwa miaka mingi na mapinduzi ya kijeshi yaliyokuwa yakifadhiliwa na serikali ya Marekani kupitia CIA na NED katika bara hilo now Latin America is finally breaking free.
China is delivering true freedom and development. As a partner, who respects sovereignty.
The dragon is rising, and the eagle is floundering. U.S bombs China builds.
Wajinga ndio waliwao!!Sekta ya viwanda Ujerumani imeathirika sana kwa sababu ya kuongezeka kwa gharama za nishati zimekuwa kubwa
Marekani anawaharibia sana wenzake walikuwa wanapata nishati kwa bei poa kutoka Urusi.
Nchi za Ulaya mpaka zitakapoamua kuwa huru zisiwe na foreign policy inayotegemea Marekani ndupo zitaweza kusimama. Wajipambanie wenyewe
Walipitia mkuu jaribu kutizama Kwa kina.Hili nakubaliana nawe kipindi chs kina Jiang Zemin na Hu Jintao hawakupitia misukosuko kama ya Xi Jinping, ila hatukatai nao walifanya sehemu yao kubwa kwenye kuukuza uchumi wa China
Hii porojo TU. China hana muda huo wa kufanya ujinga kama wa Russia.Kitu ambacho hamjui China na Urusi wamepeana majukumu ya kuidhoofisha marekani na washirika wake...
China anambana USA kwenye uchumi huku Urusi akimbana USA kwenye jeshi, alafu mwisho marekani akija mzimamzima wanamshughulikia pande zote kwa pamoja.
Haya mambo yanaenda taratibu kwa mahesabu makali ili sisi watu wa dunia ya tatu na ya pili tusifurukute sababu sisi ndio wategezi wa mwisho kuchangia rasilimali
CPC wamempa au kajipa mwenyewe!? Huyo ni dikteta asiyeamini kwenye zamu za kuongoza ili kuleta mawazo mapya.Kwa mtazamo wangu tangu comrade Deng Xiaoping aifanye China kuwa modern, Xi Jinping ndiye anayefata tena katika kipindi kigumu cha trade war. CPC wako sahihi sana kumpa uraisi wa kudumu
Sio kweli. Naona unachukulia miaka 100 kama muongo mmoja wa miaka 10 au sio!? China amefanikiwa zaidi kujaza masoko ya nchi masikini( zenye serikali dhaifu na zisizojali Raia) matakataka mfano hapa Tanzania. Nenda TU hapo Kariakoo kaone matakataka Toka China yanavyouzwa.Ila ukiwakuta kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu huyo Modi
Wahindi ni watu fulani wako proud sana hata kwa mambo ambayo bado hawajayafikia
Huwa nashangaa sana wanapojilinganisha na China. Hawataki kukubaliana na ukweli kuwa China imewaacha kwa mbali sana
China are at least a 100 years ahead of India in every metric related to development
Haujui kuwa China ni trade partner mkubwa wa pili kwa kuuza bidhaa nchi za UlayaSio kweli. Naona unachukulia miaka 100 kama muongo mmoja wa miaka 10 au sio!? China amefanikiwa zaidi kujaza masoko ya nchi masikini( zenye serikali dhaifu na zisizojali Raia) matakataka mfano hapa Tanzania. Nenda TU hapo Kariakoo kaone matakataka Toka China yanavyouzwa.
Sioni kama walipitia kipndi kigumu kama Xi Jinping. Unajua kwa mara ya kwanza trade war kati ya China na Marekani ilianza rasmi 2018 kipindi cha TrumpWalipitia mkuu jaribu kutizama Kwa kina.
CPC wamempa au kajipa mwenyewe!? Huyo ni dikteta asiyeamini kwenye zamu za kuongoza ili kuleta mawazo mapya.