Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

Hilo ndo jibu .hasante kwa kuwa greater think .ulaya soon wataanza kupoteana ujerumani uchumi wake upo .hoi .itafika mahali kila mtu atapambana na hali yake .kusambaratika kwa ulaya ndo kudhofika kwa usa
Sekta ya viwanda Ujerumani imeathirika sana kwa sababu ya kuongezeka kwa gharama za nishati zimekuwa kubwa

Marekani anawaharibia sana wenzake walikuwa wanapata nishati kwa bei poa kutoka Urusi.

Nchi za Ulaya mpaka zitakapoamua kuwa huru zisiwe na foreign policy inayotegemea Marekani ndupo zitaweza kusimama. Wajipambanie wenyewe
 

Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru

Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo.


View attachment 3155941

Robotic megaport that operates itself

Chancay port itapunguza angalau siku 10 kutoka kwa safari ambayo hapo awali ilikuwa ya siku 35 kutoka China mpaka Peru (Latin America) na kupunguza logistic cost kwa 20% route hii mpya imepewa jina la "China Latin America Freight Route."

Meli hazitahitaji tena kusimama kwenye bandari ya Long Beach California, Marekani na kisha ziende Latin America .

View attachment 3155946

"China Latin America Freight Route."

Katika kufungua hii bandari ina maana
  • Marekani will lose a lot of business na mataifa ya Latin America​
  • Na pia China itazidi kuongeza ushawishi barani humo pamoja na kujipatia natural resources.​
Ndiyo maana Marekani ilifanya juu chini kuzuia mradi huu lakini ikafeli.

Marekani baada ya kuona hilo kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje, Antony Blinken nao wakaahidi kuipa Peru treni la diesel la miaka ya 1980s


View: https://twitter.com/SecBlinken/status/1857974121004450227?t=pp49UG4N5WjK5G1NIJjaaQ&s=19


Ushawishi upande wa biashara kati ya China na Marekani barani Latin America

  • Kufikia mwaka 2000 Marekani ilikuwa trade partner mkubwa wa Latin America yote. Finally the tables have turned, ripoti ya IMF ya imeonyesha China ni trade partner mkubwa wa nchi zote za Latin America ukitoa Mexico ambayo nayo imejaa uwekezaji wa makampuni ya China yanayouza bidhaa Marekani.​

  • China imewekeza zaidi ya $100 bln kwenye infrastructure under BRI projects LatAm​
  • Ford walifungua kiwanda Brazil kimefirisika, BYD wamekirekebisha na kufunga mitambo mipya, mwezi Desemba mwaka huu wanaanza production ya EV​


Kwa sasa kila kiongozi wa Latin America hata raisi wa Argentina anti-communist, Mr Milei looks to China to build a better future.


Siku hizi Walatino wanakwambia

"Wanna build a world-class automated seaport with 5G, AI, autonomous vehicles, and robots? Call China. Wanna have EV factories? Call China."


Baada ya Walatino kuteseka sana under the USA’s Monroe Doctrine kwa miaka mingi na mapinduzi ya kijeshi yaliyokuwa yakifadhiliwa na serikali ya Marekani kupitia CIA na NED katika bara hilo now Latin America is finally breaking free.

China is delivering true freedom and development. As a partner, who respects sovereignty.


The dragon is rising, and the eagle is floundering. U.S bombs China builds.

"U.S bombs, China builds" Plain truth.
 
Sekta ya viwanda Ujerumani imeathirika sana kwa sababu ya kuongezeka kwa gharama za nishati zimekuwa kubwa

Marekani anawaharibia sana wenzake walikuwa wanapata nishati kwa bei poa kutoka Urusi.

Nchi za Ulaya mpaka zitakapoamua kuwa huru zisiwe na foreign policy inayotegemea Marekani ndupo zitaweza kusimama. Wajipambanie wenyewe
Wajinga ndio waliwao!!
Hao wajerumani na nchi zingine za ulaya, hawawezi kupima mambo kwa kina mpaka wanafikia hatua ya uchumi wao kuzorota ili kumfurahisha mmarekani?
 
Hili nakubaliana nawe kipindi chs kina Jiang Zemin na Hu Jintao hawakupitia misukosuko kama ya Xi Jinping, ila hatukatai nao walifanya sehemu yao kubwa kwenye kuukuza uchumi wa China
Walipitia mkuu jaribu kutizama Kwa kina.
 
Kitu ambacho hamjui China na Urusi wamepeana majukumu ya kuidhoofisha marekani na washirika wake...

China anambana USA kwenye uchumi huku Urusi akimbana USA kwenye jeshi, alafu mwisho marekani akija mzimamzima wanamshughulikia pande zote kwa pamoja.

Haya mambo yanaenda taratibu kwa mahesabu makali ili sisi watu wa dunia ya tatu na ya pili tusifurukute sababu sisi ndio wategezi wa mwisho kuchangia rasilimali
Hii porojo TU. China hana muda huo wa kufanya ujinga kama wa Russia.
 
Kwa mtazamo wangu tangu comrade Deng Xiaoping aifanye China kuwa modern, Xi Jinping ndiye anayefata tena katika kipindi kigumu cha trade war. CPC wako sahihi sana kumpa uraisi wa kudumu
CPC wamempa au kajipa mwenyewe!? Huyo ni dikteta asiyeamini kwenye zamu za kuongoza ili kuleta mawazo mapya.
 
Ila ukiwakuta kwenye mitandao ya kijamii wakimsifu huyo Modi

Wahindi ni watu fulani wako proud sana hata kwa mambo ambayo bado hawajayafikia

Huwa nashangaa sana wanapojilinganisha na China. Hawataki kukubaliana na ukweli kuwa China imewaacha kwa mbali sana

China are at least a 100 years ahead of India in every metric related to development
Sio kweli. Naona unachukulia miaka 100 kama muongo mmoja wa miaka 10 au sio!? China amefanikiwa zaidi kujaza masoko ya nchi masikini( zenye serikali dhaifu na zisizojali Raia) matakataka mfano hapa Tanzania. Nenda TU hapo Kariakoo kaone matakataka Toka China yanavyouzwa.
 
Sio kweli. Naona unachukulia miaka 100 kama muongo mmoja wa miaka 10 au sio!? China amefanikiwa zaidi kujaza masoko ya nchi masikini( zenye serikali dhaifu na zisizojali Raia) matakataka mfano hapa Tanzania. Nenda TU hapo Kariakoo kaone matakataka Toka China yanavyouzwa.
Haujui kuwa China ni trade partner mkubwa wa pili kwa kuuza bidhaa nchi za Ulaya

Na kwa upande wa Marekani ni trade partner mkubwa wa 3?
 
CPC wamempa au kajipa mwenyewe!? Huyo ni dikteta asiyeamini kwenye zamu za kuongoza ili kuleta mawazo mapya.
Raisi wa China anapitishwa na National People's Congress (NPC) ambayo member wake ni CPC
 
Back
Top Bottom