Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

Hilo ndo jibu .hasante kwa kuwa greater think .ulaya soon wataanza kupoteana ujerumani uchumi wake upo .hoi .itafika mahali kila mtu atapambana na hali yake .kusambaratika kwa ulaya ndo kudhofika kwa usa
Sekta ya viwanda Ujerumani imeathirika sana kwa sababu ya kuongezeka kwa gharama za nishati zimekuwa kubwa

Marekani anawaharibia sana wenzake walikuwa wanapata nishati kwa bei poa kutoka Urusi.

Nchi za Ulaya mpaka zitakapoamua kuwa huru zisiwe na foreign policy inayotegemea Marekani ndupo zitaweza kusimama. Wajipambanie wenyewe
 
"U.S bombs, China builds" Plain truth.
 
Wajinga ndio waliwao!!
Hao wajerumani na nchi zingine za ulaya, hawawezi kupima mambo kwa kina mpaka wanafikia hatua ya uchumi wao kuzorota ili kumfurahisha mmarekani?
 
Hili nakubaliana nawe kipindi chs kina Jiang Zemin na Hu Jintao hawakupitia misukosuko kama ya Xi Jinping, ila hatukatai nao walifanya sehemu yao kubwa kwenye kuukuza uchumi wa China
Walipitia mkuu jaribu kutizama Kwa kina.
 
Hii porojo TU. China hana muda huo wa kufanya ujinga kama wa Russia.
 
Kwa mtazamo wangu tangu comrade Deng Xiaoping aifanye China kuwa modern, Xi Jinping ndiye anayefata tena katika kipindi kigumu cha trade war. CPC wako sahihi sana kumpa uraisi wa kudumu
CPC wamempa au kajipa mwenyewe!? Huyo ni dikteta asiyeamini kwenye zamu za kuongoza ili kuleta mawazo mapya.
 
Sio kweli. Naona unachukulia miaka 100 kama muongo mmoja wa miaka 10 au sio!? China amefanikiwa zaidi kujaza masoko ya nchi masikini( zenye serikali dhaifu na zisizojali Raia) matakataka mfano hapa Tanzania. Nenda TU hapo Kariakoo kaone matakataka Toka China yanavyouzwa.
 
Haujui kuwa China ni trade partner mkubwa wa pili kwa kuuza bidhaa nchi za Ulaya

Na kwa upande wa Marekani ni trade partner mkubwa wa 3?
 
CPC wamempa au kajipa mwenyewe!? Huyo ni dikteta asiyeamini kwenye zamu za kuongoza ili kuleta mawazo mapya.
Raisi wa China anapitishwa na National People's Congress (NPC) ambayo member wake ni CPC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…