Hii team lumumba mpya utopolo inakuja kasi kama nyuki kuokoa jahazi linalozama!yaani kuelezea na kukumbushia majukumu ndio kumfokea?
chama ni lazima siku zote kilelewe katika nidhamu na utii na hiyo ndiyo slogan ya chama ha mapinduzi.
h0ongera katbu mkuu kwa kuwakumbusha wanchama wako juu ya mienendo mizuri na utekelezaji wa wajibu na majukumu yao
John hana anachojua. Ukiona mgombea anaroa hotuba miaka na miaka bila kunukuu za wabobezi ama wahenga. Ujue huyo mgombea ni chaka. John ni mmojawapo. Hajui kitu.Ameshasema NDOTO HUOTI MCHANA, sasa endelea kujidanganya
Huoni kabisa kuwa Bashiru hapo kaingilia faragha ya Kigwangalla? Hata mwenyewe hapo kwenye tweeter yake amejistukia. Lkn wewe shabiki wa ccm hujaona.yaani kuelezea na kukumbushia majukumu ndio kumfokea?
chama ni lazima siku zote kilelewe katika nidhamu na utii na hiyo ndiyo slogan ya chama ha mapinduzi.
h0ongera katbu mkuu kwa kuwakumbusha wanchama wako juu ya mienendo mizuri na utekelezaji wa wajibu na majukumu yao
kiongozi mzuri anatakiwa siku zote kutekeleza majukumu yake katika misingi iliyobora na mazingira ya kuelimisha ama kukumbushia watu wengine majukumu ili kuilinda taswira ya uongoziBashir acha kujipendekeza, ulianza vzr unakoelekea unakua msukule.
Dr Bashiru amemuagiza waziri Kigwangala kuacha mara moja kutupiana maneno na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa simba Mohammed Dewj.
Amemtaka badala ya kujibishana mambo ya mpira, hizo nguvu azitumie kumpigia kampeini mwenyekiti wa ccm ili ashinde.
Hakika huu ni uingiliaji wa mambo binafsi ya mtu, maana kupenda soka ni mambo binafsi. Sasa wamefikia hatua ya kupangiana nini cha kupenda.
Hakika ccm sasa ipo icu.
Tanzania bila ccm inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapanaHuoni kabisa kuwa Bashiru hapo kaingilia faragha ya Kigwangalla? Hata mwenyewe hapo kwenye tweeter yake amejistukia. Lkn wewe shabiki wa ccm hujaona.
Akumbushe wanachama wote basi, sasa yeye mpaka aone kichaka ndo haja imbane??kiongozi mzuri anatakiwa siku zote kutekeleza majukumu yake katika misingi iliyobora na mazingira ya kuelimisha ama kukumbushia watu wengine majukumu ili kuilinda taswira ya uongozi
Bashiru ametekeleza majukumu yake ya kuwaelekeza wanachama wake juu ya mwenendo mzuri kwenye chama na kwenye jamii
Angemuonya moja moja kama unavyojaribu kuliweka mm nisingekuwa na nongwa. Lkn Bashiru kasema Kigwangalla amtafutie kura mwenyekiti wake.hajaingilia uhuru wa kigwangala hata kidogo, wewe umeona kilichokuwa kinaendelea twitter ya kigwangala ni sahihi kwa image ya kiongozi na icon kama HK?