Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

yaani kuelezea na kukumbushia majukumu ndio kumfokea?
chama ni lazima siku zote kilelewe katika nidhamu na utii na hiyo ndiyo slogan ya chama ha mapinduzi.
h0ongera katbu mkuu kwa kuwakumbusha wanchama wako juu ya mienendo mizuri na utekelezaji wa wajibu na majukumu yao
Hii team lumumba mpya utopolo inakuja kasi kama nyuki kuokoa jahazi linalozama!
 
yaani kuelezea na kukumbushia majukumu ndio kumfokea?
chama ni lazima siku zote kilelewe katika nidhamu na utii na hiyo ndiyo slogan ya chama ha mapinduzi.
h0ongera katbu mkuu kwa kuwakumbusha wanchama wako juu ya mienendo mizuri na utekelezaji wa wajibu na majukumu yao
Huoni kabisa kuwa Bashiru hapo kaingilia faragha ya Kigwangalla? Hata mwenyewe hapo kwenye tweeter yake amejistukia. Lkn wewe shabiki wa ccm hujaona.
 
Dr Bashiru amemuagiza waziri Kigwangala kuacha mara moja kutupiana maneno na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa simba Mohammed Dewj.

Amemtaka badala ya kujibishana mambo ya mpira, hizo nguvu azitumie kumpigia kampeini mwenyekiti wa ccm ili ashinde.

Hakika huu ni uingiliaji wa mambo binafsi ya mtu, maana kupenda soka ni mambo binafsi. Sasa wamefikia hatua ya kupangiana nini cha kupenda.

Hakika ccm sasa ipo icu.

Tanzania bila ccm inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigwangala atakua na madeni ya kazi hajamkamilishia katibu wake. Dah 😎😎😎😎😎
 
Bashir acha kujipendekeza, ulianza vzr unakoelekea unakua msukule.
kiongozi mzuri anatakiwa siku zote kutekeleza majukumu yake katika misingi iliyobora na mazingira ya kuelimisha ama kukumbushia watu wengine majukumu ili kuilinda taswira ya uongozi
Bashiru ametekeleza majukumu yake ya kuwaelekeza wanachama wake juu ya mwenendo mzuri kwenye chama na kwenye jamii
 
Dr Bashiru amemuagiza waziri Kigwangala kuacha mara moja kutupiana maneno na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa simba Mohammed Dewj.

Amemtaka badala ya kujibishana mambo ya mpira, hizo nguvu azitumie kumpigia kampeini mwenyekiti wa ccm ili ashinde.

Hakika huu ni uingiliaji wa mambo binafsi ya mtu, maana kupenda soka ni mambo binafsi. Sasa wamefikia hatua ya kupangiana nini cha kupenda.

Hakika ccm sasa ipo icu.

Tanzania bila ccm inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
20200906_171024.jpg
 
Huoni kabisa kuwa Bashiru hapo kaingilia faragha ya Kigwangalla? Hata mwenyewe hapo kwenye tweeter yake amejistukia. Lkn wewe shabiki wa ccm hujaona.
hapana
hajaingilia uhuru wa kigwangala hata kidogo, wewe umeona kilichokuwa kinaendelea twitter ya kigwangala ni sahihi kwa image ya kiongozi na icon kama HK?
kiongozi unakujaje kutatulia matatizo yako tena ya ndani kwenye mitandao ya kijmi kisa kucpture attention ya watu tu?
huo ni ushamba kwa jina jingine sio kitu cha kuendekeza
 
kiongozi mzuri anatakiwa siku zote kutekeleza majukumu yake katika misingi iliyobora na mazingira ya kuelimisha ama kukumbushia watu wengine majukumu ili kuilinda taswira ya uongozi
Bashiru ametekeleza majukumu yake ya kuwaelekeza wanachama wake juu ya mwenendo mzuri kwenye chama na kwenye jamii
Akumbushe wanachama wote basi, sasa yeye mpaka aone kichaka ndo haja imbane??
 
Kigwa kanyea kambi, Wakati Moo akiiitumia Simba Day kumnadi Na 1 na kuchombeza Salam za Chama Tawala yeye ameona hiyo haifai anaamua kumpaka matope. Hakika Kigwa umeeenda chakka kumgusa Moo kipindi hiki kisa tu Bodaboda za Mkopo zimebuma.
 
hajaingilia uhuru wa kigwangala hata kidogo, wewe umeona kilichokuwa kinaendelea twitter ya kigwangala ni sahihi kwa image ya kiongozi na icon kama HK?
Angemuonya moja moja kama unavyojaribu kuliweka mm nisingekuwa na nongwa. Lkn Bashiru kasema Kigwangalla amtafutie kura mwenyekiti wake.
 
Back
Top Bottom