Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Kigwangala iko siku atahamia upinzani
 
Tunakoelekea Bashiru atawachimba mkwara wagombea hadi kutia wake zao.

Dunia haiwezi kusimama kupisha agenda za uchaguzi tu.
 
Pomoja na issue za uchaguz lkn maisha ya kawaida lazima yaendelee, mfano mambo ya dini mgombea anawajibu wa kutoa mchango au maoni vile vile kwenye upenzi wa mpira anahaka mtoto wa watu ku enjoy sio muda wote awaze ccm mara ilani!! Aaa no maisha ya kawaida lazima yaendelee.
 
Tunakoelekea Bashiru atawachimba mkwara wagombea hadi kutia wake zao.

Dunia haiwezi kusimama kupisha agenda za uchaguzi tu.
kuna siku nyingine katibu mkuu amewahi kutoka hadharani na kukemea bila uovu wowote kutendeka? Kwanini useme mamneno hayo wakati alikuwa anatimiza majukumu yake yakulinda nidhamu na image ya chama?
 
umesema vema sana, lakini unaangalia mazingira gani ya kuseam kitu husika na effect yake kwa watakao kutana nacho. HK tayari ni icon na pia ni mgombea unafikiri hichi kinamadhara gani katika mazingira ya kiuchaguzi in relation to ccm?
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji..
Ndugu Bashiru ametekeleza vyema majukumu yake kama mtendaji mkuu wa Chama. Hakika wagombea wanatakiwa kufuata mwongozo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…