Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

Inawezekana kabisa dr nchimbi akawa rais wa jamhuri ya mungano wa tanzania, lakini nina wasiwasi kuwa mojawapo ya watu waliowahi kuwa makatibu wakuu viongozi kutoka kanda ya ziwa inawezekana mmojawapo akawa rais na waziri mkuu atatoka dodoma!
-ni mawazo
 
Toa maoni yako kwa uhuru na amani,
Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
🌈 Upinde bana, naona ulivyoona wafuasi wa upinzani wameona Nchimbi kaongelea kupatikana kwa katiba mpya, basi umedhani ndio hata wapinzani wa kweli wanataka kuongozwa na mwanaccm. Naona siku hizi kila siku unaanzisha nyuzi kupima upepo kuona kama Nchimbi anakubalika hadi na wapinzani.

Watu wanakuona khanithi tu kwa hizi swaga zako za kitoto. Ccm na takataka zake zote tulishamalizana nazo muda mrefu ikiwemo huyo Nchimbi.
 
Inawezekana kabisa dr nchimbi akawa rais wa jamhuri ya mungano wa tanzania, lakini nina wasiwasi kuwa mojawapo ya watu waliowahi kuwa makatibu wakuu viongozi kutoka kanda ya ziwa inawezekana mmojawapo akawa rais na waziri mkuu atatoka dodoma!
-ni mawazo
ok.🐒
 
Back
Top Bottom