Anajulikana, TALToa maoni yako kwa uhuru na amani,
Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Cc: Lucas MwashambwaToa maoni yako kwa uhuru na amani,
Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka gentleman na itapendeza zaidi 🐒🌈 Upinde bana, naona ulivyoona wafuasi wa upinzani wameona Nchimbi kaongelea kupatikana kwa katiba mpya, basi umedhani ndio hata wapinzani wa kweli wanataka kuongozwa na mwanaccm. Naona siku hizi kila siku unaanzisha nyuzi kupima upepo kuona kama Nchimbi anakubalika hadi na wapinzani.
Watu wanakuona khanithi tu kwa hizi swaga zako za kitoto. Ccm na takataka zake zote tulishamalizana nazo muda mrefu ikiwemo huyo Nchimbi.
Sijaweweseka hii nchi siyo mali ya ccmusiweweseke gentleman plz 🐒