SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
siasa ni maisha gentleman,
usipokua na mawazo au mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu utatoboa kweli aise?
bora liende ni mambo ya kizamani gentleman š
Kikosi kazi kazini reinforcing the narrative to the misukules mapema wazoee..