Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

siasa ni maisha gentleman,
usipokua na mawazo au mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu utatoboa kweli aise?

bora liende ni mambo ya kizamani gentleman šŸ’

samia nchimbi.jpg


Kikosi kazi kazini reinforcing the narrative to the misukules mapema wazoee..
 
wakiwemo Dr.Samia Suluhu Hassan, Dr.Emmanuel John Nchimbi na wafanyabiashara wengine inatosha gentleman šŸ’

Nikajua utasema na wanaccm wengine, kumbe ni Rais, makamu, na wafanyabiashara šŸ˜„
 
Nikajua utasema na wanaccm wengine, kumbe ni Rais, makamu, na wafanyabiashara šŸ˜„
hata wewe unaweza kusema gentleman,

au kuna ubaya wowote ule, kwasababu huko wameenda waTanzania wa vyama vyote vya siasa šŸ’
 
Inawezekana kabisa dr nchimbi akawa rais wa jamhuri ya mungano wa tanzania, lakini nina wasiwasi kuwa mojawapo ya watu waliowahi kuwa makatibu wakuu viongozi kutoka kanda ya ziwa inawezekana mmojawapo akawa rais na waziri mkuu atatoka dodoma!
-ni mawazo
Ni ngumu ujue Bashiru style yake ya uongozi ni kama ya Magufuli,kumuweka mtu degn hiyo ni ngumu buy it is possible.Ingawa ndio Magufuli alimuandaa awe mrithi wake halafu Polepole awe Waziri Mkuu
 
Back
Top Bottom