Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

WANASIASA huwa wanawaza UCHAGUZI unafuata..
siasa ni maisha gentleman,
usipokua na mawazo au mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu utatoboa kweli aise?

bora liende ni mambo ya kizamani gentleman πŸ’
 
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka gentleman na itapendeza zaidi πŸ’
 
Tuombe uhai pengine tukashuhudia mambo yasiyofikirika kama ambavyo 2015 hatukuwahi kufikiria kuna raisi mwanamke atakuwepo 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…