Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

Azam Tv alivyo mkuda,hata channels za taifa zitakazoonesha mechi kwa uchache ataziondoa.

56K ni reasonable kama ni mechi zote,mchawi abaki Makamba tu.
 
Wewe ni arrogant na huna uelewa wa aina yoyote katika exclusive rights za kurusha matangazo ya televisheni. Unajua haki utolewa kwa masharti gani? Nikikuuliza kwanini StarTimes na Dstv hawaonyeshi ligi kuu Tanzania sijui utajibu nini
Unafahamu kwamba huyo mtu aliongelea "uwezo wa Azam kulipia maonyesho ya world cup." na mimi nikabase huko kwanini aje na hitimisho hilo?
Nani alikuwa anaongelea "rights" hapa?

Au unadandia treni kwa mbele?
 
DSTV ana Exclusivity wrights za Kuonyesha Kombe la Dunia (na hapo ndo upata hela za kuendeshea kampuni na faida yake kubwa-miaka ya 2008 alikuwa analipia $10M kwa mwaka kushikiria haki hizo) niliwai kuwa na mazungumzo na boss mmoja Johannesburg. those days wakati tukiwa na project ya broadband hapa TZ.
 
Unafahamu kwamba huyo mtu aliongelea "uwezo wa Azam kulipia maonyesho ya world cup." na mimi nikabase huko kwanini aje na hitimisho hilo?
Nani alikuwa anaongelea "rights" hapa?

Au unadandia treni kwa mbele?
Azam hana hela ya kulipia hizo rights ndio. Ile ni biashara sio kutoa hela kwa sifa, ili Azam alipie anabidi atoe hela kumzidi DStv ndio apate exclusive rights wakati hapo DStv anakosa, au labda waingie mkataba usiozuia kampuni nyingine kusaini. DStv kuna Wafaransa walitaka kuweka zaidi ya $1 billion kuinunua, nani anaweza weka trilioni mbili kununua Azam?

Azam wapo nchi tano tu na uko hawana wateja wengi kivile. Kasome TCRA sensa yao uone ni watu elfu ngapi wana Azam hapa nchini ambako ndio ina wateja wengi, hawana wateja wa kulipia kifurushi cha kurudisha hela inayolipiwa kuonyesha kombe la dunia kwa mwezi. Kuna makampuni yamelipa bilioni zaidi ya 20 na mengine bilioni zaidi ya 100 za kibongo kutokana na coverage na estimation ya idadi ya watazamaji kwenye ukanda au nchi zao
 
Seriously? Billion 20-100 za kibongo?
Mwaka 2015 Azam ilikuwa na thamani ya zaidi ya 600 million US Dollars hiyo ni Trilion 1 na billion 400 kwa Tsh. miaka 7 imepita piga hesabu leo itakuwa na thamani kiasi gani...?
Unaandika as if Azam inadeal na TV pekee. Unafahamu kwamba Azam sio TV tu bali ni Multi-Brand company?... Bila shaka jibu ni hapana.
Azam hajaamua, bila shaka anaona uwekezaji ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo au karibu na hasara.
Kusema hana PESA ya kulipia rights sio kweli.

Unnecessary risky investment is not worth it.
 
Hapa kwenye matangazo tunazungumzia Azam Tv hatuzungumzii unga wala malori ya mizigo. Kwani hujui group of companies hizo kampuni chini ya mwavuli zinajiendeshaje. Yani unadhani Azam Pay wanachukua hela za mauzo ya unga, na Azam Marine wanachukua hela ya vifurushi vya Tv. Kwamba hujui tofauti ya SSB Group na vitoto vyake.

Sio kwamba Azam hajaamua. Azam hawezi, tatizo la watu ambao hamjawahi kuuza hata ukwaju mna mawazo ya ajabu.
Eti "....hajaamua bila shaka anaona uwekezaji wake ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo...". Kumbe biashara huwa zinaendeshwaje??

Nyinyi ndio mnadhani Mo Dewji kawekeza Simba kisa anaipenda timu. Au Bakhresa anaonesha ligi kisa "ameamua", kisa anaipenda. Au unadhani wale Waarabu wamiliki wa Manchester City wanaweza taja hata jina la kocha. Kinachoangaliwa ni return, hii ni biashara sio nyege
 
Basi mwenyewe unajiona mtaalam...wahed mmoja
 
World Cup huwa vituo vya Taifa wanapewa asilimia ya kuonesha. Kuhusu Azam hawana haki, zote kanunua DStv ndo maana wameamua kupandisha bei.
Labda atumie fursa ya ZBC2
 
Wanaopanga haki za matangazo sio Qatar bali ni FIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…