Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

Umesahau majungu..ukinunua gari unaanza kufuatiriwa na takukuru hadi na usalama.

#MaendeleoHayanaChama
 
Usisahau wakikuita kila kikao inabidi uende na uwasikilize hata kama hawana la maana wanalolizungumza....

Ajiandae kutumia nauli hovyo hovyo kufuatilia mambo ya halmashauri huku akija kuzidai nauli wamtishe kumsimamisha kazi....

Mengine nitaandika baadaye
 
Usisahau wakikuita kila kikao inabidi uende na uwasikilize hata kama hawana la maana wanalolizungumza....
Halafu madiwani wenyewe ni darasa la Saba, ila ni wabishii kuelewa.
Na ukiwaeleza ki-proffesional bado wanakuwa wabishi.
Yaani wanakubishia mpaka wewe uliyeyasoma chuoni..!!
Ajiandae kutumia nauli hovyo hovyo kufuatilia mambo ya halmashauri huku akija kuzidai nauli wamtishe kumsimamisha kazi....

Mengine nitaandika baadaye
Halafu ujinga unakeraaaa.
Yaani CMT, Kamati, Full Council zinapitisha maamuzi.

Sasa Ukiomba posho na hela ya nauli kuzifatilia Utasikia ""Halmashauri haina hela"" na lisipofanyika basi lawama kwako..!!

Yaani utumie mshahara wako kufanya Kazi za Halmashauri...!!!!

#YNWA
 
Asikudanganye Mtu ndugu yangu. Hakuna mwanamke/mwanaume atakaa miezi 6 Nachingwea anakusubiri wewe wa Kamachumu asigongwe/kugonga.
 
Asikudanganye Mtu ndugu yangu. Hakuna mwanamke/mwanaume atakaa miezi 6 Nachingwea anakusubiri wewe wa Kamachumu asigongwe/kugonga.
Mkuu acha story za vijiweni, ukweli ni kwamba wapo wanaume na wanawake waliotulia na wanaweza ku-sustain kukaa wenyewe for as long as it takes. Priority kwao ipo kwenye vitu vingine kabisaaaa.

Binafsi priority yangu haijawahi kuwa kwenye hayo mambo, Ni rahisi kunikuta nakunywa wine, beer kuliko kunikuta kwenye hzo habari. Kuishi kwa wajibu kwangu ndani ya familia ni kipaumbele changu kikuu, na Mwenyezi Mungu anisaidie.

-Remember, unaweza kujizungumzia wewe mwenyewe na siyo mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…