Akiwepo ndo binadamu a-behave kama mbwa? 🤣 🤣 Kinachomtofautisha binadamu na mnyama ni AKILI na UTASHI pekee. Binadamu akishakosa control ya anachotaka kufanya atatofautishwaje na mbwa sasa?Hahahahahaha labda kaseja hayupo golini
Inshort- TABIA ndo huwa inam-define mtu, umbali ni ishu ndogo mno, tena sana. Mwanamke au mwanaume malaya haitaji umbali kutimiza azma yake, hata gap la hatua moja kwake linaweza kuwa opportunity my friend 🤣🤣🤣
Na nyakati hizi ndo HEKIMA na BUSARA inazidi kupungua sana miongoni mwetu wanadamu, kiasi kwamba mtu anatamani kulala hata na mwanaye wa kumzaa au Mzazi, haya mambo hayatoisha mpaka watu wajitambue na MUNGU aingilie kati.