Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Kwa kauli za zani za katibu wa sisiemu bashiru, naona kama hamkubali.
 

Ni sahihi kabisa kabisa naunga hoja mkono, but before he speaks before the public he should be audited/reveiwe of what he has to say, and be guided mahala ambapo si pa provocation
 
Baada ya leo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Humphrey Pole Pole kuteuliwa na Rais Magufuli katika nafasi 10 za Ubunge.

Kutoka kona za Lumumba hapa duru zinasema watu wawili wanapewa nafasi kubwa za kumrithi Pole Pole..

1. Makonda: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

2. Kheri James: Kwa sasa huyu ni Mwenyekiti wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.
 
Kheri anaweza maana anajua kuupepeta
 
GOGOKI2014 kasemaje?
 
Hilo haliwezi kutokea
 
Mbona yeye ni Rais na ni mwenyekiti wa chama. Elewa kile ni cheo Cha chama na ubunge ni cheo cha serikali.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi kwangu huwa sijali,hata wakitaka kumpa pole pole uwaziri mkuu Sawa tu.I don't care,kwasababu success ya maisha yangu inanitegemea Mimi mwenyewe na Kwa namna ya pekee,Kwa neema za Mungu.
πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…