Nape hakufanya kazi ya uenezi kisasa na kisayansi.Hamna atapatikana tu mwingine,kumbuka nape nauye alipoingia bungeni nakuteuliwa polepole kwa muda mrefu sana poleple akaonekana kashindwa kuvaa viatu vya nape nauye mpaka ilipofika kipindi cha uchaguzi 2020 ndipo walau polepole ali shaini
Yule keshastafu siyasaNilihisi tu, makonda au Abdallaah Bulembo
Kuna wenezi wengi sana wa wilaya hadi mkoa.wachoropoe humoNi wakati sasa wanawake wakapewa nafasi muhimu katika sekretarieti ya CCM, hivyo napendekeza nafasi hiyo safari hii iwaangalie zaidi dada zetu.
Kama vipi yule mwenezi wa CCM Zanzibar apandishwe cheo awe wa taifa ama DC Jokate aliyewahi kuwa Katibu wa uenezi na hamasa UVCCM atatosha kuvaa viatu vya Polepole.
Maendeleo hayana vyama!
Dah...unaijua Viete wewe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Kwa kuwa CCM hawajawahi kuwa na akili watampa!
Sema DBSifikiri kama CCM watataka kuweka mtu ambaye sio smart. HP ni smart hata kama wengine hatumpendi. PM sioni kama ni smart kutosha kuvaa viatu vya HP. Maoni yangu tu.
Kile kizee kitarajiwa na kinachohisiwa kichawi ndio kilikuwa smart?!Sifikiri kama CCM watataka kuweka mtu ambaye sio smart. HP ni smart hata kama wengine hatumpendi. PM sioni kama ni smart kutosha kuvaa viatu vya HP. Maoni yangu tu.
CCM imejaa uozo tupuBaada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi...
Paschal MayallaHii nafasi ni ya MUSIBA piga uwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Timu Bashite mmeanza ramli chonganishi! Chakubanga Slowslow, ndiyo habari ya mujini!
Muacheni a-trend!
Everyday is Saturday............................... [emoji41]
Vyeti vinagomba, hawezi kupataTimu Bashite mmeanza ramli chonganishi! Chakubanga Slowslow, ndiyo habari ya mujini!
Muacheni a-trend!
Everyday is Saturday... 😎