Muendesha serikali ya Tanzania, Chief Secretary, Chief of Public Service, Secretary to the Cabinet, Secretary to National Security Council, Head of all Permanent Secretaries alikuwa mtu mmoja tuu Na ni Msukuma Amb. Paul Rupia.
Kwahiyo alikuwa na nguvu kuliko vp?
Safari hii mmekwama maana hakuna atakaye wapa hiyo nafasi.
 
Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba (Mazishi) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
Aliyekufa kafa... Sisi tunaganga yajayo
 
William Lukuvi i think he is the Man for VP
Mkristo
Mtu wa Bara
Mzoefu
Jasiri nk
Mambo ya dini yanaingiaje hapa? Kinacho hitakijika ni ubunifu,uzalendo wa kweli na Elimu ya Chuo kikuu ya kuwawezesha wahusika kuchambanuwa masuala ya domestic na Geopolitics kisomi, proper education backgroud counts a lot unlike popular publicity stunts - hasikwambie mtu.
 
Lukuvi ndo mwenye uwezo, uthubutu na busara
 
Hapa ndipo mnakosea. Huyu Mama akiwa Rais atahitaji ushauri na sio kuongozwa. Uamuzi wa mwisho utakuwa wa kwake na sio mwingine. Atakuwa Rais kamili na sio figure head.

Amandla...
 
Ama kwa hakika tulivyohuzunika kwa yaliyotokea October mwaka jana ndio tumefutwa machozi jana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…