Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
HahahahEwe mwana wa Stephano, kwanini wanena haya. Kwani haikupaswa kusubiri kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahEwe mwana wa Stephano, kwanini wanena haya. Kwani haikupaswa kusubiri kwanza?
Mchaga full time uko hoves😂😂Tupe general election tuchague tunaemtaka
Katiba ya kisenge...kikundi cha watu kinatuchagulia kila kitu halafu kinasukumiza kwenye makoo yetu kwa lazima!
Aaaaah wapi ...mavi tu Huyo.Nape Nnauye.
Wote waislamu haoUmewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.
Haiwezi kula kwao, itakula kwako wewe pamoja na watanzania wengine popote pale walipo. Naomba ukumbuke sana hili, usisahau
Kwahiyo alikuwa na nguvu kuliko vp?Muendesha serikali ya Tanzania, Chief Secretary, Chief of Public Service, Secretary to the Cabinet, Secretary to National Security Council, Head of all Permanent Secretaries alikuwa mtu mmoja tuu Na ni Msukuma Amb. Paul Rupia.
Upo sahihi sana mkuuBashiru, mwigulu,kabudi,ni madikteta hawa wasirudi wataturudisha misiri.Warudi chuo wakafundishe.
1. Mbarawa Profesa
2. Makamba January
Kwakweli mark this comment. Sababu sioni sura yoyote inayoweza kukaa hio nafasi zaidi ya hao waheshimiwa wanaojielewa na wasomi wazuri.
Aliyekufa kafa... Sisi tunaganga yajayoViti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba (Mazishi) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
Alishajulikana ni muda tuu
Mambo ya dini yanaingiaje hapa? Kinacho hitakijika ni ubunifu,uzalendo wa kweli na Elimu ya Chuo kikuu ya kuwawezesha wahusika kuchambanuwa masuala ya domestic na Geopolitics kisomi, proper education backgroud counts a lot unlike popular publicity stunts - hasikwambie mtu.William Lukuvi i think he is the Man for VP
Mkristo
Mtu wa Bara
Mzoefu
Jasiri nk
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.
R.I.P Magufuli.
Tukumbushane baada ya miaka miwili.Believe me nikikuambia Mama Samia hatoongoza taifa zaidi ya mwaka lazima aapishwe mwanaume pale ikulu
Here we go again, male chauvinism at its zenith!!Believe me nikikuambia Mama Samia hatoongoza taifa zaidi ya mwaka lazima aapishwe mwanaume pale ikulu
Hapa ndipo mnakosea. Huyu Mama akiwa Rais atahitaji ushauri na sio kuongozwa. Uamuzi wa mwisho utakuwa wa kwake na sio mwingine. Atakuwa Rais kamili na sio figure head.1. Jakaya Mrisho Kikwete, apewe umakamu wa rais
2. Butiku
3. Kimei
4. Kinana
5. Warioba
6. Prof Muhongo
7. Makinda
7. Mwamunyange
8. Lissu
9. Chikawe
10. Mwandosya
Hao akina January, mwigulu sijui kabudi bado sana. Anatakiwa mkongwe na mwenye busara ya kumwongoza mama kuliweka taifa pazuri
Waziri mkuu alikuaga nani katika vipindi hivyo?Tulikuaga na Jakaya na Shein, Jakaya na Gharib Bilali..
Kipi ulipunguza? Ambacho wakati wa Magufuli na Samia ulikiongeza?